Hii picha ya Rais Kikwete inaongea mengi...

Hii picha ya Rais Kikwete inaongea mengi...

Bwana Masanja lengo la picha halikuwa hilo unalotaka kulileta wewe!
lakini ngoja nikuambie, JK anam-beat JPM kila kona ikiwemo eneo pendwa la JPM ambalo kudhibiti ufisadi.
hakuna anayejua kama ufisadi upo au la kwa sababu hakuna anayeruhusiwa ku-report chochote!
mfano ni hii kesi ya njaa, hadi sasa hakuna uhalisia, watu wanajificha kusema ni Mange, Lissu na Zitto kabwe tu wanaoweza kuiongelea serikali. so kwamba kudhibiti ufisadi kumefanikiwa au la hakuna anayeweza kujua. na hilo ndio eneo pekee labda JPM alikuwa anaweza kumfunika JK nalo liko doubtful, though kwangu JK alikuwa bora Zaidi naomba kuweka hoja: -

Udhibiti wa rasilimali na issues za accountability
alishindwa big time, ila bado he was much better kuliko huyu wa sasa. naomba kufafanua
  1. uhakiki wa kwanza na ku-centralize watumishi ni kazi iliyofanywa awamu ya 4
  2. kuongeza nguvu takukuru ni kazi ya awamu ya 4
  3. kuijenga ofisi ya CAG na kuiongezea uwezo, kuwatoa chini ya ofisi za halmashauri watumishi wa ofisi hiyo na kuiomba ofisi hiyo iripoti kwake moja kwa moja.
    • hapa JK alijenga mfumo imara labda ndio maana hata yeye walimuacha uchi!
serikali hii ya leo, haijengi mifumo na siku wakiondoka ofisi hazitorithiwa na hiyo ni hatari Zaidi. lakini kama waandishi au wanasiasa hawaruhusiwi kuisema serikali, je report ya CAG utaipata wapi.
awamu ya tano yenyewe ina mahakama ya mafisadi tu, sijui kama imeanza kazi au la!
so hata Hapa bado Nampa JK point nyingi Zaidi kuliko JPM

Back to topic, hiyo picha inapaswa itafsiriwe kwa upana wake tu, usiende nje ya hiyo picha, na mtego wake mkuu ni ule ushirikiano baina ya serikali na upinzani. baada ya uchaguzi Mbowe anakuwa kiongozi wa kiserikali na bungeni ana heshima yake kama kiongozi mkuu wa kambi ya upinzani, sasa ukimnyima haki ya kufanya siasa nje ya kwao Kilimanjaro ukuu wake anautoa wapi?
kwanini anapewa gari ya serikali?
Sifa nilizoziambatanisha na picha hiyo niliziweka late baada ya kuona watu wanaenda nje ya tafsiri ya picha! ni kama wakati wa physical geography, haka kama unapajua mbagala, lkn ukiletewa picha ya mbagala we just tafsiri kile unachokiaona!

Mkuu bandiko lako linaonyesha kwamba wewe in mhanga WA JPM. Can you really talk of Mange? Aliyemtukana Lowassa na kumpigia kampeni huyo huyo Magufuli? Unaweza diriki kusema eti JK alipambana na ufisadi? Kweli tunaishi Tanzania tofauti. Ndo maana nasema Tanzania itatuchukua miaka mingi kupata mbadala WA CCM. Watanzania wengi hatujui tunataka nini.

My brother......
 
Mkuu bandiko lako linaonyesha kwamba wewe in mhanga WA JPM. Can you really talk of Mange? Aliyemtukana Lowassa na kumpigia kampeni huyo huyo Magufuli? Unaweza diriki kusema eti JK alipambana na ufisadi? Kweli tunaishi Tanzania tofauti. Ndo maana nasema Tanzania itatuchukua miaka mingi kupata mbadala WA CCM. Watanzania wengi hatujui tunataka nini.

My brother......
Masanja masanja...
acha porojo weka fact kwa fact!
kusema au la hakuna maana yeyote!
Vigezo ndio kitu cha msingi...!
Nakuwekea facts kuwa Kikwete alipinga ufisadi.
  1. kesi za ufisadi zilizungumzwa na taasisi za serikali au vyombo vya umma openly (eg Bunge)
  2. alikubali pressure toka kwa wapinzani na zikaundwa kamati kuchunguza
  3. bunge la jamhuri lilitoa hukumu stahiki na vyombo vingine vikamalizia kwa kadri ilivyoonekana inafaa
  4. PCCB, CAG na kamati ya hesabu za serikali zilikuwa na uwezo wa kuamsha kesi kwa kesi za uozo
  5. wapinzani pia walipata nafasi ya kuamsha uozo
  6. media zilisema, ikiwemo JF, Mwanahalisi na wanaharakati wengi wakiwemo wale wa haki za binadamu etc.
Kwa serikali yenye nia ya dhati ya kupambana na ufisadi, kwenye utawala unaoamini katika usafi, nadhani Bunge, CAG, PAC, PCCB, media ndizo zingetawala Zaidi maana wezi tungewapata Zaidi kuliko chochote!

Napenda kuamini kuwa mkulu anachukia Zaidi ufisadi, lkn siwezi/pia huwezi kuwa objective ktk hilo, hatuna ushahidi! watu walioshutumiwa zamani wengine wamerejeshwa ktk utawala tena bila ya kuwa clear, wapo wanaotimuliwa na wapo wanaoachwa kwa makosa sawa au yanayokaribiana, lkn wapo ambao hawana makosa wanaumia tu kwa kupishana misimamo!
mimi binafsi yangu sijaona kipya, labda wewe acha kujibishana kwa hisia lete facts za ubora!

Kuhusu ugumu wa maisha, inawezekana mimi nainjoy maisha leo kuliko wewe, though awamu hii wengi tumepigika kiuchumi (mimi nikiwemo) lkn hii ni kwa sababu neema zikikatika ktk umma zinamuathiri kila mtu!
Mange nadhani watanzania wachache sana hawamsomi kwa sasa, mi simjui ambaye hamsomi posts zake(ukiondoa generation ya wazee na wale wasiojua mambo ya mitandao), hata wewe kwa story hiyo tu uliyoweka yaonesha unamsoma!

wewe pia nina mashaka nawe!
 
Siku hizi?
Mheshimiwa WASSIRA yuleeeee.

Kajiachia kwenye Kochi kama kawaida yake.


1477710336181-jpg.460763
 
Ila huyu wa sasa.anataka atawale peke yake.ikulu kumeshakuwa nyumba yake.ukitofautiana nae tu.ikulu utaiona kwa mbali.
Umesahau JK alikaribisha Tanil Somaia km vile ikulu ni nyumbani kwake? Msijitoe ufahamu nyumbu nyie
 
View attachment 460763

Confidende... yaani mtazamaji yeyote atasema tu hapo mwenyeji nani - self esteem
Supremacy - kwa picha tu unaweza kuhisi nani mwenye power
Ownership- jamaa aliown state, nchi ilikuwa mali yake so hakuona woga to share chochote alichohisi worth to be shared
Loyalty - huwezi jua kuwa hao ni wapinzani wake, walimsema kila dakika yet amekaa nao kama marafiki
wengine endeleeni, lkn hizi ni baadhi ya qualities za good leader!

Kikwete aliset standard ya juu sana, hatukujua kipindi kile!

Bado jamaa walimtukana na kumdhihaki bila haya. Hapo nadhani walipewa na bahasha za kaki kumalizia ugeni wao [emoji41] lakini bado hawakuthamini. Sasa acha NAMBA ZISOMEKE NA RANGI ZIONEKANE awamu hii ya tano
 
Umoja na kusikilizana ktk maslahi ya nch

Umoja na kusikilizana kuifilisi nchi kwa kuuza wanyama pori kwa waarabu? Kuwalinda wezi na wauza madawa ya kulevya? Are these the high standards he set that you are admiring him for? You should be damned!
 
View attachment 460763

Confidende... yaani mtazamaji yeyote atasema tu hapo mwenyeji nani - self esteem
Supremacy - kwa picha tu unaweza kuhisi nani mwenye power
Ownership- jamaa aliown state, nchi ilikuwa mali yake so hakuona woga to share chochote alichohisi worth to be shared
Loyalty - huwezi jua kuwa hao ni wapinzani wake, walimsema kila dakika yet amekaa nao kama marafiki
wengine endeleeni, lkn hizi ni baadhi ya qualities za good leader!

Kikwete aliset standard ya juu sana, hatukujua kipindi kile!
Hahaha nimemuangalia sana wasira nimecheka sana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom