Hapo nilipoweka mstari.
Hiyo ndo kasumba yetu waTanzania tulio wengi na ndo inadhihirisha unafiki wetu na kuonyesha kwamba njaa yetu inatupotezea umakini. Kwa hiyo tusishangae hata wanasiasa wanavyotuchezea akili.
Hata huyo Magufuli akitoka Madarakani yatakuwa haya haya. Pathetic!
Ndo maana wengine tumeamua ..tuhangaike na Huyu Huyu Pombe.....maana mwisho wa siku tunaonekana wasiojua wanataka nini kutoka kwa viongozi wao.
Bwana Masanja lengo la picha halikuwa hilo unalotaka kulileta wewe!
lakini ngoja nikuambie, JK anam-beat JPM kila kona ikiwemo eneo pendwa la JPM ambalo kudhibiti ufisadi.
hakuna anayejua kama ufisadi upo au la kwa sababu hakuna anayeruhusiwa ku-report chochote!
mfano ni hii kesi ya njaa, hadi sasa hakuna uhalisia, watu wanajificha kusema ni Mange, Lissu na Zitto kabwe tu wanaoweza kuiongelea serikali. so kwamba kudhibiti ufisadi kumefanikiwa au la hakuna anayeweza kujua. na hilo ndio eneo pekee labda JPM alikuwa anaweza kumfunika JK nalo liko doubtful, though kwangu JK alikuwa bora Zaidi naomba kuweka hoja: -
Udhibiti wa rasilimali na issues za accountability
alishindwa big time, ila bado he was much better kuliko huyu wa sasa. naomba kufafanua
- uhakiki wa kwanza na ku-centralize watumishi ni kazi iliyofanywa awamu ya 4
- kuongeza nguvu takukuru ni kazi ya awamu ya 4
- kuijenga ofisi ya CAG na kuiongezea uwezo, kuwatoa chini ya ofisi za halmashauri watumishi wa ofisi hiyo na kuiomba ofisi hiyo iripoti kwake moja kwa moja.
- hapa JK alijenga mfumo imara labda ndio maana hata yeye walimuacha uchi!
serikali hii ya leo, haijengi mifumo na siku wakiondoka ofisi hazitorithiwa na hiyo ni hatari Zaidi. lakini kama waandishi au wanasiasa hawaruhusiwi kuisema serikali, je report ya CAG utaipata wapi.
awamu ya tano yenyewe ina mahakama ya mafisadi tu, sijui kama imeanza kazi au la!
so hata Hapa bado Nampa JK point nyingi Zaidi kuliko JPM
Back to topic, hiyo picha inapaswa itafsiriwe kwa upana wake tu, usiende nje ya hiyo picha, na mtego wake mkuu ni ule ushirikiano baina ya serikali na upinzani. baada ya uchaguzi Mbowe anakuwa kiongozi wa kiserikali na bungeni ana heshima yake kama kiongozi mkuu wa kambi ya upinzani, sasa ukimnyima haki ya kufanya siasa nje ya kwao Kilimanjaro ukuu wake anautoa wapi?
kwanini anapewa gari ya serikali?
Sifa nilizoziambatanisha na picha hiyo niliziweka late baada ya kuona watu wanaenda nje ya tafsiri ya picha! ni kama wakati wa physical geography, haka kama unapajua mbagala, lkn ukiletewa picha ya mbagala we just tafsiri kile unachokiaona!