Confidende... yaani mtazamaji yeyote atasema tu hapo mwenyeji nani - self esteem
Supremacy - kwa picha tu unaweza kuhisi nani mwenye power
Ownership- jamaa aliown state, nchi ilikuwa mali yake so hakuona woga to share chochote alichohisi worth to be shared
Loyalty - huwezi jua kuwa hao ni wapinzani wake, walimsema kila dakika yet amekaa nao kama marafiki
wengine endeleeni, lkn hizi ni baadhi ya qualities za good leader!
Kikwete aliset standard ya juu sana, hatukujua kipindi kile!