Kwani ikulu ni mali ya aliyepo pale au ya watanzania?Tundu lissu naye hadi jino la mwisho..roho kwatuuu..wakitoka getini wanaona Jamaa dhaifu..wamemuwini sababu kawaita ikulu..huyu wa sasa ikulu wataiona tu kwenye taarifa ya habari
Kama mlihusika na uwepo wake pale basi atakaa huo muda mnaoutaka ila kama mnajua hamkuhusika kwa lolote wala chochote mtabakia kuwa kelele za mlango wa nyumba..tuliomuweka tumeshasema yes..no body can say noKwani ikulu ni mali ya aliyepo pale au ya watanzania?
Hizo ndio fikra mgando ukiwa pale ni mpangaji tuu na wenye nyumba ni wananchi wote.
Na mpangaji huwezi mzuia mwenye nyumba kufika hapo na akifika lazima umkaribishe kwa unyenyekevu ili upate mkataba mwingine wa kuishi.
Huyu wa sasa naziona dalili za kuishi humo kwa mkataba mmoja tuu wa miaka 5 kama yule wa kule Zenji matehemu Idrisa Abdul Wakili
Usimfananishe J.M Kikwete na Washamba wasioishiwa na Bifu na Visasi.View attachment 460763
Confidende... yaani mtazamaji yeyote atasema tu hapo mwenyeji nani - self esteem
Supremacy - kwa picha tu unaweza kuhisi nani mwenye power
Ownership- jamaa aliown state, nchi ilikuwa mali yake so hakuona woga to share chochote alichohisi worth to be shared
Loyalty - huwezi jua kuwa hao ni wapinzani wake, walimsema kila dakika yet amekaa nao kama marafiki
wengine endeleeni, lkn hizi ni baadhi ya qualities za good leader!
Kikwete aliset standard ya juu sana, hatukujua kipindi kile!
umetisha mkuuWasira kakaa pozi la kutoa Yusufffffffff
Great man.View attachment 460763
Confidende... yaani mtazamaji yeyote atasema tu hapo mwenyeji nani - self esteem
Supremacy - kwa picha tu unaweza kuhisi nani mwenye power
Ownership- jamaa aliown state, nchi ilikuwa mali yake so hakuona woga to share chochote alichohisi worth to be shared
Loyalty - huwezi jua kuwa hao ni wapinzani wake, walimsema kila dakika yet amekaa nao kama marafiki
wengine endeleeni, lkn hizi ni baadhi ya qualities za good leader!
Kikwete aliset standard ya juu sana, hatukujua kipindi kile!
Walisema hawataingia kwenye uchaguzi mkuu kwa Katiba hii na wakaenda mbali zaidi kudai kuwa Rais Kikwete ni mnafiki.
Ni nani hapa mnafiki?
Ambaye hakuyasimamia maneno yake au aliyewafanya wasisimamie maneno yao?
JK alilaumiwa kwa mabaya yake na hilo hata yeye hawezi kulipinga! yeye sio Malaika/Mungu alikuwa na mema na maovu!Leo hii amekua mzuri............tunapoelekea kwa unafiki huu hawa wanaoisema vibaya hii serikali baada ya kutoka wataisifia
Kila shetani na mbuyu wake. Pale unapoona strength, mi naona weakness.View attachment 460763
Confidende... yaani mtazamaji yeyote atasema tu hapo mwenyeji nani - self esteem
Supremacy - kwa picha tu unaweza kuhisi nani mwenye power
Ownership- jamaa aliown state, nchi ilikuwa mali yake so hakuona woga to share chochote alichohisi worth to be shared
Loyalty - huwezi jua kuwa hao ni wapinzani wake, walimsema kila dakika yet amekaa nao kama marafiki
wengine endeleeni, lkn hizi ni baadhi ya qualities za good leader!
Kikwete aliset standard ya juu sana, hatukujua kipindi kile!
Kila zama na kitabu chake! Leo mnamsifu JK mliyemtukana na kumuita dhaifu. Kweli ninyi ni wanafiki na wasahaulifu. Safari hii mtaisoma namba mpaka muombe po! Kweli wewe ni Mbilikimo wa Akili!View attachment 460763
Confidende... yaani mtazamaji yeyote atasema tu hapo mwenyeji nani - self esteem
Supremacy - kwa picha tu unaweza kuhisi nani mwenye power
Ownership- jamaa aliown state, nchi ilikuwa mali yake so hakuona woga to share chochote alichohisi worth to be shared
Loyalty - huwezi jua kuwa hao ni wapinzani wake, walimsema kila dakika yet amekaa nao kama marafiki
wengine endeleeni, lkn hizi ni baadhi ya qualities za good leader!
Kikwete aliset standard ya juu sana, hatukujua kipindi kile!
Acha unafki.Kipindi hii picha inapigwa mlikuwa mnasema JK ni Raisi Dhaifu Mara Vasco da Gama.Leo unaandika kwa kumpamba kinyume na ilivyosemwa awaliView attachment 460763
Confidende... yaani mtazamaji yeyote atasema tu hapo mwenyeji nani - self esteem
Supremacy - kwa picha tu unaweza kuhisi nani mwenye power
Ownership- jamaa aliown state, nchi ilikuwa mali yake so hakuona woga to share chochote alichohisi worth to be shared
Loyalty - huwezi jua kuwa hao ni wapinzani wake, walimsema kila dakika yet amekaa nao kama marafiki
wengine endeleeni, lkn hizi ni baadhi ya qualities za good leader!
Kikwete aliset standard ya juu sana, hatukujua kipindi kile!
Wengine Wataona kama mambo yalikuwa shagarabagara,hakuna discipline.View attachment 460763