hapo left huyo mweusi then mzungu ndo nadhani ni mumewe😶Yupi sasa hapo
Yaan khaaaah had mtu unachoka, utadhan wao inawahusu mweeehDuuu kweli wabongo wape picha maelezo wataleta wao
Yaan wa TZ ni watu wa ajabu sana, wanataka kupangia maisha ya mtu binafsi, duuuuhWatu huko wanatukana kama wamerukwa na akili, yaani wana hasira na maisha ya wengine wanasahau ya kwao, hasa Watanzania sijui kwanini?
Nacheka tu na comments.
Watu huko wanatukana kama wamerukwa na akili, yaani wana hasira na maisha ya wengine wanasahau ya kwao, hasa Watanzania sijui kwanini?
Nacheka tu na comments.
Hatumpangii mtu maisha ila tunasikitika kumuona baharia alivyo usaliti ule utamu wote tunao upata kwenu wanawake, mnajua nyie viumbe wa kike ni Watamu sana hapo katiKila mtu ana haki ya kuamua maisha yake binafsi yawe vipi kadri ya matakwa yake.
Wala hakuna kupangiana, acha muhusika afurahie chaguo pendwa na hitaji ktk maisha yake.