Hii picha ya Familia ya Saut Sol inathibitisha juu ya tetesi za mmoja wao kushiriki mapenzi ya jinsia moja?

Mimi bado naona unacho cha kuongeza inamaana wewe unaona ni sahihi kabisa mwanaume kufanya mapenzi ya jinsia moja au mwanamke kufanya mapenzi ya jinsia moja? Hebu fikiria vizuri kisha uje na jibu sahihi
Chief, huyo unayejibizana nae nimewahi kuona mahali wakimtuhumu kuwa ni mchele kibua. Kwahiyo yaweza kuwa unachokifanya ni kama kumpelekea fisi kesi ya kondoo.
 
Kila mtu anaona sahihi kwake kulingana ma matakwa ya hitaji lake, usitake mtazamo na fikra au mapendekezo yako basi yawe sawa wengine, haiwezekan kamwe.

Kila mtu na life style yake ambayo anaona kwake ni sawa. Na ujue kila mtu ana hako na uhuru was kufanya jambo ambalo kwake ni sahihi pasipo kuathiri mwingine. Hakuna kupangiana.

Acha kila mtu aishi maisha yake binafsi, live ur own life.
 
Kwamba hata mkeo au mwanao akiwa anafukuliwa mtaro unamwacha tu kwa vile ni maisha binafsi si ndio hivyo?
Yeah ni maisha yake binafsi ambayo kachagua kua nayo, hivyo sina ruksa ya kumuingilia wala kumzuia, na haibadilishi uhalisia kua km n ndugu Yang au mtu wangu wa karibu.

Acheni watu waishi maisha yao binafsi, deal na maisha yako binafsi khaaaah. Ili hali hali haikuathiri chochote. Aaaah
 
Punga hilo achana nalo walichane puru
Kwahiyo huyo unae msema n punga akichanwa hicho ulichokitaja wee una athirika vipi? Ishi maisha yako binafsi, ya wengine hayakuhusu khaaaah.

Mnafuatilia San faragha za watu, kwan zenu nani anawafuatilia?
Poleeh San kwa kuhemkwa kwa jambo usilohusika nalo, kaa kwa kutulia, hakuna kupangiana, enjoy ur life choice.

Dunia ni Duara.
 
Chief, huyo unayejibizana nae nimewahi kuona mahali wakimtuhumu kuwa ni mchele kibua. Kwahiyo yaweza kuwa unachokifanya ni kama kumpelekea fisi kesi ya kondoo.
Muwe mnatoa hoja thabiti na dhahiri, ila sio mna hemkwa na hisia zenu, khaaaaah kila mtu ana haki ya kuamua life style binafsi, pasipo kuingiliwa wala kuzuiliwa ili hali haiathiri kanuni, taratibu na sheria.

Jambo usilo husika nalo linakukwaza vipi wee ktk maisha yako? Acheni watu waishi juu ya interest za faragha zao.

Ishi maisha yako binafsi, ya mwingine hayakuhusu.

Dunia Duara.
 
Back
Top Bottom