Hii picha sijaelewa kabisa walimaanisha nini??

kwa picha hii afu hawahitaji watu wa sanaa kweli mungu yupo nasi
 
Wamemjibu Uhuru Kenyatta. Aliweka picha ya Mlima Kilimanjaro Kama hivyo Halafu akaweka salaam za Xmas Na mwaka mpya. I think ili kuonesha mount Kilimanjaro uko Tz Magu nae akaweka hivyo.
Just thinking
Kenya pia wanapata view ya mt kilimanjaro,
 
Wamemjibu Uhuru Kenyatta. Aliweka picha ya Mlima Kilimanjaro Kama hivyo Halafu akaweka salaam za Xmas Na mwaka mpya. I think ili kuonesha mount Kilimanjaro uko Tz Magu nae akaweka hivyo.
Just thinking
Hebu tuwekee hiyo picha tuione.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom