Hii picha sijaelewa kabisa walimaanisha nini??

KikulachoChako

JF-Expert Member
Jul 21, 2013
15,527
2,000
Wamemjibu Uhuru Kenyatta. Aliweka picha ya Mlima Kilimanjaro Kama hivyo Halafu akaweka salaam za Xmas Na mwaka mpya. I think ili kuonesha mount Kilimanjaro uko Tz Magu nae akaweka hivyo.
Just thinking
Haupo mbali na ukweli....hasa ukichukulie attitude ya mkuu wetu.....
 
data

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
22,741
2,000
Wamemjibu Uhuru Kenyatta. Aliweka picha ya Mlima Kilimanjaro Kama hivyo Halafu akaweka salaam za Xmas Na mwaka mpya. I think ili kuonesha mount Kilimanjaro uko Tz Magu nae akaweka hivyo.
Just thinking
Hivi itakuwa iliandaliwa Ikulu kabisa !
 
blogger

JF-Expert Member
Mar 13, 2012
4,185
2,000
Kuna shida mahala..... Sura ya Rais ilibidi iwe katikati. Alafu haoo wanyama na hiyo ndege !!!?????
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom