Hii picha sijaelewa kabisa walimaanisha nini??

Hii picha sijaelewa kabisa walimaanisha nini??

Kushoto chini ni wanatuonyesha mnyama anaepotea kwa kasi "kuuliwa" ajili ya pembe zake.

Kushoto juu wanatuonyesha mnyama ambae anapotea kwa kasi mno ajili ya kuruhusu watu kuwinda "game hunting".

Katikati wameweka mlima ambao ni wa Tanzania lakini wameshindwa kuutangaza. Majirani zetu wanafaidi huo mlima kuliko sisi.
Katikati juu wameweka ndege ambayo hatuna kwa sasa lakini "italetwa"

Kulia juu wameweka mnyama ambae ndio nembo ya ndege zetu.

Kulia chini bado natafakari.
 
Taratibu za picha kuu zimekiukwa. Sijui kama hawakujua.!!!
 
Hahaaa..... Mkuu tunajaribu kufikiria tu.
Mie nilifikiria kama ni ilitoka nyumba nyeupe haikupta kwa msigwa au inawezekana imetokea wizara ya maliasili na utalii na wameprove faru john hayupo
 
Kushoto chini ni wanatuonyesha mnyama anaepotea kwa kasi "kuuliwa" ajili ya pembe zake.

Kushoto juu wanatuonyesha mnyama ambae anapotea kwa kasi mno ajili ya kuruhusu watu kuwinda "game hunting".

Katikati wameweka mlima ambao ni wa Tanzania lakini wameshindwa kuutangaza. Majirani zetu wanafaidi huo mlima kuliko sisi.
Katikati juu wameweka ndege ambayo hatuna kwa sasa lakini "italetwa"

Kulia juu wameweka mnyama ambae ndio nembo ya ndege zetu.

Kulia chini bado natafakari.
Happy new year
 
Angewekwa kenyatta hivyo sifa zingekuwa nyingi ila kisa kawekwa magufuli hapo mnabeza. Baadhi ya Watanzania sio mna tabia za ajabu.
wamekurupuka, aliye wapa idea alikua vizuri lakini design bado.
 
Angewekwa kenyatta hivyo sifa zingekuwa nyingi ila kisa kawekwa magufuli hapo mnabeza. Baadhi ya Watanzania sio mna tabia za ajabu.
Copy and paste... hazisifiwi. Creativity za kuiga za nini??
 
Wamemjibu Uhuru Kenyatta. Aliweka picha ya Mlima Kilimanjaro Kama hivyo Halafu akaweka salaam za Xmas Na mwaka mpya. I think ili kuonesha mount Kilimanjaro uko Tz Magu nae akaweka hivyo.
Just thinking
Hatuwezi kufikiria zaidi ya Kenya mpaka tu copy kwao?
 
Faru John kawa celebrity, nimeona magari ya abiria yana bango kubwa la huyu faru!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom