tena kwenye mlima katupia na bendera kabisa ili kugongomelezeaWamemjibu Uhuru Kenyatta. Aliweka picha ya Mlima Kilimanjaro Kama hivyo Halafu akaweka salaam za Xmas Na mwaka mpya. I think ili kuonesha mount Kilimanjaro uko Tz Magu nae akaweka hivyo.
Just thinking
Hapo chacha. Haivutii kwanza.Hivi itakuwa iliandaliwa Ikulu kabisa !
Na ben saananeMbona hawajamweka Faru?[emoji87]
Ya kuish duniani au ya nnAnawakera wapiga dili na wezi wa mali ya umma kama wewe. Na bado utaisoma namba, amebakiza miaka "9".
Tatizo wengi wavuta bangi ndio wanasumbua humuAngewekwa kenyatta hivyo sifa zingekuwa nyingi ila kisa kawekwa magufuli hapo mnabeza. Baadhi ya Watanzania sio mna tabia za ajabu.
Mkikosa lakuongea mlaleMbona Rais kawekwa sambamba na simba na sio twiga,ndio kusema yeye simba ngozi yake haimtoshelezi kujigamba.
Haviendani na maagizo yake.... Kwanza si ndo zile alizopiga marufuku kipindi kile kuwa hairuhusiwi kutumia pesa za serikali kuchapisha kadiAngewekwa kenyatta hivyo sifa zingekuwa nyingi ila kisa kawekwa magufuli hapo mnabeza. Baadhi ya Watanzania sio mna tabia za ajabu.
Chini ya TwigaMbona hawajamweka Faru?[emoji87]
Ya kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Utaisoma namba sana.Ya kuish duniani au ya nn
Haviendani na maagizo yake.... Kwanza si ndo zile alizopiga marufuku kipindi kile kuwa hairuhusiwi kutumia pesa za serikali kuchapisha kadi