Hii picha niya msanii gani ?

Hii picha niya msanii gani ?

Surya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
9,759
Reaction score
15,567
Nani anamjua huyu ?
1000128081.jpg


Naamini kila kitu kina tafsiri yake..

1. Kwanini Profile hiyo ?
2. Kwanini Username hiyo ?

Nielezee yangu ?
 
Huyu ni michael Jai white.. nimemjua baada ya kutazama filamu yake ya undisputed 2 akiwa na scott adkins Akicheza kama George iceman chamber. Pia kwenye ngoma ya nikki minaj ya Your love huyu bwana yumo
 
Back
Top Bottom