The Assassin JF-Expert Member Joined Oct 30, 2018 Posts 5,082 Reaction score 20,806 Mar 29, 2024 #21 Carasco Putin said: Kwan Tanzania kwa afrika tunapitwa na nchi gani kwa maendeleo ukitoa South Africa Nigeria na nchi za kiarabu Click to expand... Ghana, Angola, Zambia, Djibouti. Nk. Sisi hata Zambia wanatuzidi mipango miji, ustaarabu, miji iliyopangiliwa. Tanzania tuna miji iko hovyo hovyo.
Carasco Putin said: Kwan Tanzania kwa afrika tunapitwa na nchi gani kwa maendeleo ukitoa South Africa Nigeria na nchi za kiarabu Click to expand... Ghana, Angola, Zambia, Djibouti. Nk. Sisi hata Zambia wanatuzidi mipango miji, ustaarabu, miji iliyopangiliwa. Tanzania tuna miji iko hovyo hovyo.
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 44,996 Reaction score 189,583 Mar 29, 2024 #22 Mr mutuu said: Wameweka caption Gani? Hizo nyumba uswahilini hazitakaa ziishe, ukiiulizia Bei ya kiwanja hapo lazima ukimbie Click to expand... Bei Unatajiwa Budget Ya Mradi😂
Mr mutuu said: Wameweka caption Gani? Hizo nyumba uswahilini hazitakaa ziishe, ukiiulizia Bei ya kiwanja hapo lazima ukimbie Click to expand... Bei Unatajiwa Budget Ya Mradi😂
Carasco Putin JF-Expert Member Joined Apr 23, 2022 Posts 13,697 Reaction score 38,648 Mar 29, 2024 #23 The Assassin said: Ghana, Angola, Zambia, Djibouti. Nk. Sisi hata Zambia wanatuzidi mipango miji, ustaarabu, miji iliyopangiliwa. Tanzania tuna miji iko hovyo hovyo. Click to expand... Oyaa kuwa seriously basi 🤣🤣🤣🤣🤣
The Assassin said: Ghana, Angola, Zambia, Djibouti. Nk. Sisi hata Zambia wanatuzidi mipango miji, ustaarabu, miji iliyopangiliwa. Tanzania tuna miji iko hovyo hovyo. Click to expand... Oyaa kuwa seriously basi 🤣🤣🤣🤣🤣
CABANA JF-Expert Member Joined Feb 6, 2013 Posts 422 Reaction score 557 Mar 29, 2024 #24 Nchi hii ya ovyo kabisa...wizara ya michezo ijitathimini kwa hili.
Marco Polo JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 13,433 Reaction score 21,446 Mar 29, 2024 #25 Sawa na pale Victoria mwananyamala ukipita barabarani utasema Niko Nyuyoku tembea hatua 100 nyuma ya Yale maghorofa ndio utajua hujui.
Sawa na pale Victoria mwananyamala ukipita barabarani utasema Niko Nyuyoku tembea hatua 100 nyuma ya Yale maghorofa ndio utajua hujui.
Sultan MackJoe Khalifa JF-Expert Member Joined Nov 24, 2022 Posts 7,696 Reaction score 15,983 Mar 29, 2024 #26 kimipango miji jiji la Dar lipo hovyo.
Shin Lim JF-Expert Member Joined Mar 27, 2012 Posts 8,379 Reaction score 15,503 Mar 29, 2024 #27 Inabidi na sisi tuukienda kwao tupige picha ya namna hiyo kama tutabahatika kuona.
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,937 Reaction score 168,758 Mar 29, 2024 #28 Mi nnachojua tunasubiri kukandwa, kuhusu picha sielewi hata....
D danica New Member Joined Mar 25, 2023 Posts 2 Reaction score 2 Mar 29, 2024 #29 The Assassin said: Ukitembea nchi za watu kisha ukaja Tanzania ukajiuliza sisi ni masikini hadi akili. Uwanja wa Taifa umezungukwa na mabanda umiza, nyumba zisizo na hadhi kukaa mjini. Click to expand... Hivi kwa eneo lile la uwanja wa taifa nyumba hizi zipo upande gani
The Assassin said: Ukitembea nchi za watu kisha ukaja Tanzania ukajiuliza sisi ni masikini hadi akili. Uwanja wa Taifa umezungukwa na mabanda umiza, nyumba zisizo na hadhi kukaa mjini. Click to expand... Hivi kwa eneo lile la uwanja wa taifa nyumba hizi zipo upande gani