Aliyekuwa Mgombea ubunge jimbo la Ubungo kupitia Chama cha Mapinduzi, Hawa Nghumbi akimshika kifuani kusikiliza mapigo ya moyo Mbunge wa Jimbo hilo, John Mnyika kabla ya hukumu ya kupinga ushindi wake kusomwa na jaji katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam jana. Source: Mwananchi