Andrew Nyerere
JF-Expert Member
- Nov 10, 2008
- 3,007
- 2,462
Ina maana Chadema na CCM ni marafiki wakubwa.
akili za yusufu magamba hizo. ndiye aliagiza popote mgombea wa ccm atakaposhindwa afungue kesi.
Jamni JJ una kifua kizurii!!! Naomba baada ya hukumu nikakilalie ili niondoe stress, manake laah, roho inandunda!![]()
Aliyekuwa Mgombea ubunge jimbo la Ubungo kupitia Chama cha Mapinduzi, Hawa Ngh'umbi akimshika kifuani kusikiliza mapigo ya moyo Mbunge wa Jimbo hilo, John Mnyika kabla ya hukumu ya kupinga ushindi wake kusomwa na jaji katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam jana. Source: Mwananchi
![]()
Aliyekuwa Mgombea ubunge jimbo la Ubungo kupitia Chama cha Mapinduzi, Hawa Nghumbi akimshika kifuani kusikiliza mapigo ya moyo Mbunge wa Jimbo hilo, John Mnyika kabla ya hukumu ya kupinga ushindi wake kusomwa na jaji katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam jana. Source: Mwananchi