Hii Picha Ina Tafsri Gani??

Efun

New Member
May 8, 2012
2
0
juhm-mnyika1.jpg

Aliyekuwa Mgombea ubunge jimbo la Ubungo kupitia Chama cha Mapinduzi, Hawa Ngh’umbi akimshika kifuani kusikiliza mapigo ya moyo Mbunge wa Jimbo hilo, John Mnyika kabla ya hukumu ya kupinga ushindi wake kusomwa na jaji katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam jana. Source: Mwananchi
 
"Mnyika achana na hao vimwana wadogo"
"Niite gamba au la mimi ni wako wa Ubungo"

Ni ujumbe mzuri wa kumaliza uhasama.
 
Huyo mama mbona kalegeza macho namna hiyo? Hapo anajuta kwa nini hakufuta kesi mapema ili amnyakue dogo. Ni kama anasema " Mh! Kumbe hili toto lina sura nzuri hivi?"
 
Mimi ninafikiri huyo Hawa ng'umbi alikuwa anatubu dhambi zake kwa Mnyika. "Naomba Mh. JJ Mnyika unisamehe dhambi zangu, ni Makamba ndiye alinidanganya kama vile Nyoka alivyo mdanganya wa jina langu HAWA. Nisamehe sitarudia tena kuchezea NGUVU YA UMMA hata nikishawishiwa na Baba Riz1.
 
inamaanisha alilazimishwa kwenda kufungua kesi kupinga ushindi wa mnyika lakini inaonekana yeye mama alikuwa hana nia mbaya na ushindi wa mnyika
 
Ni kuchanganyikiwa tu, alishapewa hints huyu kuwa ngoma imeharibika. CCM washindwa kujua kinachoendela mahakama za bonge, unacheza nini.
 
inamaanisha alilazimishwa kwenda kufungua kesi kupinga ushindi wa mnyika lakini inaonekana yeye mama alikuwa hana nia mbaya na ushindi wa mnyika

akili za yusufu magamba hizo. ndiye aliagiza popote mgombea wa ccm atakaposhindwa afungue kesi.
 
Kudadeki. Macho ya huyu dada yamenichanganya, kwa nini Mtukufu Jaji aliruhusu hiki kitendo??
 
Jamani Mnyika, kumbe sometime huwa handsome hivi, hili likesi usilijali unaweza ukawa ka-serengeti kubwas kangu
 
Mh! Hawa ngh'umbi ni bonge la shangingi nadhani komba wa tot ameshahonga gari pale.
 
juhm-mnyika1.jpg

Aliyekuwa Mgombea ubunge jimbo la Ubungo kupitia Chama cha Mapinduzi, Hawa Ngh’umbi akimshika kifuani kusikiliza mapigo ya moyo Mbunge wa Jimbo hilo, John Mnyika kabla ya hukumu ya kupinga ushindi wake kusomwa na jaji katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam jana. Source: Mwananchi

Huyu Mama alikuwa na lake jambo! Mbona ameshika titi la Mnyika la upande wa KULIA kwani moyo unakaa upande wa titi la kulia?
 
Ha ha ha jamani nakauka kucheka na mikogo ya comments za hii picha ngoja nipite naendelea kucheka
 
Hii scene si mchezo..picha imetoka kama mmama amezama kwenye mahabat ya nguvu alafu mnyika anaona 'noma'..lol!
 
Hiyo maana yake ni kuwa lazizi usinichukie hata nikishinda kesi. Kwanza soma mazingira toka mwanza hiyo kesi haikuwa na mshiko, mtuhumiwa amekaa kiti kimoja na mshitakiwa hiyo inakuja kweli? hii kesi ilikuwa changa la macho na mchezo wa kusafisha matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi.

Mungu iokowe Tanzania yetu jamani, walio wengi hawana uchungu na kodi za walala hoi, na walala hoti nao hawajui kuwa wanaliwa.
 
Ng'umbi kafika bei mazima, angalia hilo jicho! Jamani John mimi nilifungua hii kesi ili niweze kuwa karibu na wewe
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom