Hii picha ya mpiganaji wa Palestina inaongea maneno mengi sana

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,992
17,892
Hii picha huwa naitazama sana, hii picha inaongea maneno mengi sana, hii picha ina maana nyingi sana, hii picha inasema mengi sana daaaah
20231119_193025.jpg
 
The founder of Hamas, Sheikh Ahmed Ismail Hassan Yassin, said:

"We don't hate Jews and fight them because they are Jews.

Jews are people of a religion, and we are people of a religion.

We love all people of different religions.

My brother even if he is my brother and he is a Muslim,

If he steals my house and kicks me out, I will resist him."

tinyurl.com/Gaza-needs-us
 
Anasoma mwongozo wa jinsi ya kutumia kombola kutoka kwenye kitabu Cha dini 😂😂
Baada ya hapo analiwa shaba akawahi mabikira....

View: https://x.com/mes_alshamsi/status/1746209617745531233?s=20
 
Baada ya hapo analiwa shaba akawahi mabikira....
Kwa msako unaoendelea kule Sina uhakika kama huyu mtu Yu hai tena inawezekana hii picha ilipigwa kitambo kabla IDF hawajaingia Gaza, chunguza vizur wapiganaji wa Hamas ambao wanarusha video zao wakiwa ambush IDF utagundua kwamba wengi ni wale wananchi waliopewa mafunzo ya haraka wale wakongwe wenyewe ambao wako well trained wameshiba mazoez kama huyo jamaa hapo juu wameshaliwa vichwa maana ndio walikuwa Frontline.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom