Hii pekee ipo Rwanda

Hii pekee ipo Rwanda

Wamejaa Karagwe wakuu kwa anayetaka kuwagegeda. Mimi nilipata nikiwa huko mmoja, mtoto akapagawa kuona niko na watasha na huku namwaga ng'eng'e mingi. Nilipoitongoza aliniuliza natoka Daslam? Nikamrusha kwa kumwambia mimi mtswana aliruka kwa furaha. Anadai watswana wapo kama waingereza. Nilikula 'mutoto kwa laha thana'.
Eti natoka Daslam,hahahaaa
 
Bado ujawajua vizuri wewe umeenda kiofisi nenda kibiashara au waulize wafanyabiashara wadogo watakuambia tabia zao za ndani hao polisi unaowaona wapelekee shtaka la wewe umdhurumiwa kama watakusaidia hao! Ikiwa mrwanda mwenzao ametendewa vibaya na mtanzania utawajua mrwanda ni nani na hupo hapo kimaslai kwao tabia za warwanda na waburundi ni moja wabinafsi sana na wanateteana walinitoa machozi nimerudi Tanzania macho yamenivimba nilikumbuka marehemu wotee,!
 
POINT TO STICK: HUYO MUUZA VOCHA NI ASKARI KIKUKWELI NA SI MUUZA VOCHA KAMA ULIVYOMCHUKULIA
KUHUSU MAGODORO KUWEKEWA PLASTICK COVER KAMUULIZE JIRANI YAKO MAMA KOKU ATAKUAMBIA.
MAMBO MENGINE UKO SAHIHI SECURITY YA RWANDA NI 100% STAND-BY HUPENYI NGOME ILE UKAHARIBU HALAFU UKATOKA SALAMA NG'OOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO. NIMEKAA PALE MWAKA JANA ILA SIKUPENDA HARRASSMENT WANAYOFANYIWA WAFANYA BIASHARA WADOGO NI SHIIIIIIDA ANGALIA SOKONI JIONI IKIFIKA UTALIA.
Ndio mtukufu anataka wadanganyika waishi namna hiyo!
 
Habari wandugu!

Leo ndio narudi Tanzania nikitokea Rwanda kwa ajili ya likizo ya mapumziko kiukweli kuna mengi niliyoyaona na kujifunza nikiwa Rwanda ila nafurahi maana mengi ni mazuri.

Suala la usalama hilo liko wazi kwa kila mmoja Rwanda ndio nchi pekee ambayo nimetembea usiku mnene na Polisi akawa ananifuata nyuma mpaka nikaingia lodge ndo akarudi bila hata kuniharass wala kunisemesha. Mfumo wao wa doria ni hatari sana. Wanakuwa askari kadhaa kwenye Gari then wengine wanatembea kwa miguu wakiachiana hatua kama tano tano single file. Ajabu guest niliyofikia kulikuwa na makahaba wengi jirani yake pamoja na kapub ila polisi wanawalinda kwa adabu na nidhamu kubwa.

Rwanda ndio nchi pekee ambayo pombe yake maarufu Primus inaujazo mkubwa sana hivyo ni kawaida sana mtu akakusalimia na akapiga funda kadhaa then akaondoka, nimeona wapenzi wengi wakishare liprimus limoja na hakuna shida. Hii imeongeza umoja na upendo miongoni mwao yaani Rwanda kuna love mpaka unaogopa sijui sababu wana makovu ya chuki na vurugu ndo maana wanaheshimu sana amani. Upendo na kuheshimiana pia kuvumiliana maana nimetembea kwenye bar na pub sijakuta watu wakirushiana maneno makali au kupigana hapana! Its peace!

Rwanda ndo nchi pekee ambayo salam ya hi! Jibu lake ni fine!

Rwanda ndio nchi pekee ambayo mji mkuu kila mtu anamjua mtu Fulani. Watu almost wote wanajuana mji mkuu.

Rwanda ndio nchi pekee ambayo idadi kubwa ya raia anavaa nguo zinazofanana na za kijeshi na hakuna noma iwe kofia pekee, au suruali, au shati au hata buti na hakuna police wala mjeshi anaehoji wazee wa usalama hawana maneno wao ni ulinzi tu kwa kwenda mbele.Kuna time nlikutana na jamaa mchana kuanzia cap mpaka boot ni la jeshi afu jamaa anauza vocha stendi ya bus. Ahahahaha.

Rwanda ndio nchi pekee ambapo Polisi na jeshi wanashika doria za usiku na mchana.

Rwanda ndo nchi pekee ambapo polisi wana aina moja ya uniform kwa askari wote.mf hapa bongo yaani FFU, askari wa kawaida, traffic, wote wawe na sare moja.

Rwanda kigali ndio mji mkuu pekee ambao sijaona mfuko wa plastic wala karatasi imezagaa barabarani.

Rwanda ndo mji pekee east Africa ambapo diamond yuko celebrated than local artist wa pale. Wale wasiojua kiingereza pale Rwanda wanaamini diamond platinum ni neno la kiswahili. Nimeenda club kadhaa na kila club ilipiga nyimbo za diamond zaidi ya nne tofauti na wasanii wengine. Ilifika time nikang'oa mpaka demu mkali wa kitutsi kwenye club moja VIP kwa kiki la kwamba diamond ni jirani yangu pale Dar ilhali ukweli nakaa Mwanza, nyegezi.

Rwanda Kigali ndo mji pekee ambapo wimbo wa pressure wa afsa kazinja na banana upo kwenye chati na unapigwa kwenye baadhi ya bar na pub hapa mjni Kigali.

Rwanda Kigali ndo mji pekee ambapo magodoro yake yamewekewa "plastic cover" sijui hata ni kwa sababu gani, mtanisaidia tafadhali wandugu.

Rwanda Kigali ndo mji pekee ambao nimekutana na mwanamke na nikamwambia wewe ni mrembo saana afu akajibu "urakoze" afu akaunga stori nyingine like its normal then that's it. Nahisi Washaambiwa saana we ni mrembo ndo maana hawashangai tena kuambiwa warembo. Daamn!

Rwanda ndo mji pekee ambao ukiagiza ugali na nyama utaletewa ugali na kongoro...ahahaha!

Kwa ujumla sijajutia likizo yangu Rwanda.
Hongera umetuletea zawadi gani sasa baada ya stori ndefu
 
Mleta mada umenikumbusha kwamba hawa jamaa hawajui kupika ila umenizidi ujanja mi niliogopa kuopoa mtutsi pale club kwa sababu askari wanakuwa wamevalia kivita kwenye maegesho ya magari na milangoni ila wenyeji wanakokota mitetea mbele yao bila woga, sasa umenipa mwanga ngoja tusubiri December inakuja.
Watu mna Lugha ngumu sana...Eti...wanakokota miTETEA
 
Rwanda Kigali ndo mji pekee ambapo magodoro yake yamewekewa "plastic cover" sijui hata ni kwa sababu gani, mtanisaidia tafadhali wandugu.

Magpdolo yapo hivyo kwa sababu ya maumbile yao ya kike ukigusa tu binti anapizi maji mengi humtoka hasa ukichezea harage, na hii ipo na kwa Warundi pia!
 
Godoro na cover ya plastic, sababu ni ile teknolojia ya Bukoba, yaani Bukoba, Rwanda na Uganda teknolojia hiyo imeenea na huzalisha maji mengi sana wakati wa mlo kwa hiyo bila plastic magodoro yataoza! Upo hapo? Mbona hukumuuliza yule Mtutsi ulimuopoa au hakububujisha maji usiku huo?
Ngoja waje, mi sina Millioni 7
 
Hizi ni porojo na propaganda kutaka kuisafisha Rwanda dhidi yetu Tanzania ili ionekane ni watu wema kumbe ni unafiki tu!. Tumeshituka na wewe JPM kuwa makini na hawa Warwanda sio watu wema kabisa!
 
Back
Top Bottom