Hii nyimbo mpya ya Diamond ifungiwe

Hii nyimbo mpya ya Diamond ifungiwe

Mimi sipo kabisa katika hizi team mavi, mavi za hapa mjini mara team kiba mara team diamond, mara team sijui ushuzi !! Bali mi ninapenda mziki mzuri wa aina yoyote na uimbwe na team yoyote, twende kwenye point huu wimbo wa diamond NASEMA NAWE NI MZURI SANA TATIZO NI HII VIDEO HAWA MASHANGINGI YA MAGOMENI NA TANDALE YAVYOFANYA MLE NDANI, KAMA BASATA WALIIFUNGIA NYIMBO YA BATA YA WALE OFFSIDE TRICK NAOMBA WAIFUNGIE NA HII PIA KWABI HAINA TOFAUTI KABISA NA ILE ...

NB: MATUSI YANAKARIBISHWA PIA KKWA NYIE TEAM MAVI MAVI MSIOJIELEWA HAPA MJINI, KIKUBWA NKITAKA UJUMBE UFIKE NAJUA UMEFIKA COZ BASATA WAMO HUMA NDANI JF NAWASILISHA

Zingifuri zingifuri
 
Iko wapi sasa, umejaa matusi kama linini vile; kwani umelazimshwa kuitazama.
 
basata wenyewe washadownload, kwani nani hapendi mambo matamu hahahaaaa
utamu utamu hii video, " giri girani, mambo ya bara na pwani " wengine hoi uku..! Kagusa kila aina ya ugonjwa wetu, kuna mdada alikua anatingisha nanilia ( mtindi )...! Hataree
 
Mimi sipo kabisa katika hizi team mavi, mavi za hapa mjini mara team kiba mara team diamond, mara team sijui ushuzi !! Bali mi ninapenda mziki mzuri wa aina yoyote na uimbwe na team yoyote, twende kwenye point huu wimbo wa diamond NASEMA NAWE NI MZURI SANA TATIZO NI HII VIDEO HAWA MASHANGINGI YA MAGOMENI NA TANDALE YAVYOFANYA MLE NDANI, KAMA BASATA WALIIFUNGIA NYIMBO YA BATA YA WALE OFFSIDE TRICK NAOMBA WAIFUNGIE NA HII PIA KWABI HAINA TOFAUTI KABISA NA ILE ...

NB: MATUSI YANAKARIBISHWA PIA KKWA NYIE TEAM MAVI MAVI MSIOJIELEWA HAPA MJINI, KIKUBWA NKITAKA UJUMBE UFIKE NAJUA UMEFIKA COZ BASATA WAMO HUMA NDANI JF NAWASILISHA

Nakubaliana na wewe 100%
 
utamu utamu hii video, " giri girani, mambo ya bara na pwani " wengine hoi uku..! Kagusa kila aina ya ugonjwa wetu, kuna mdada alikua anatingisha nanilia ( mtindi )...! Hataree

heheee sijui kawatoa wapi wale watu
 
Hii nyimbo ndio nini? Huu wimbo au hizi nyimbo ndio neno sahihi,wa-tz tunajichanganya sana kuhusu umoja na wingi,wimbo(umoja) na nyimbo(wingi).
 
Kaka watz ndo tuko hivyo, huwa hatuko serious kuanzia boss mkuu mpk chekechea
 
Back
Top Bottom