tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,896
- 19,755
Ile mizigo ni hatari neema za allah zimejaa
Mimi sipo kabisa katika hizi team mavi, mavi za hapa mjini mara team kiba mara team diamond, mara team sijui ushuzi !! Bali mi ninapenda mziki mzuri wa aina yoyote na uimbwe na team yoyote, twende kwenye point huu wimbo wa diamond NASEMA NAWE NI MZURI SANA TATIZO NI HII VIDEO HAWA MASHANGINGI YA MAGOMENI NA TANDALE YAVYOFANYA MLE NDANI, KAMA BASATA WALIIFUNGIA NYIMBO YA BATA YA WALE OFFSIDE TRICK NAOMBA WAIFUNGIE NA HII PIA KWABI HAINA TOFAUTI KABISA NA ILE ...
NB: MATUSI YANAKARIBISHWA PIA KKWA NYIE TEAM MAVI MAVI MSIOJIELEWA HAPA MJINI, KIKUBWA NKITAKA UJUMBE UFIKE NAJUA UMEFIKA COZ BASATA WAMO HUMA NDANI JF NAWASILISHA

Well noted mkuu mijitu haina kazi
Kazi kujiita team ma.vi tu
...waifungie vipi na ngoma za asili mashariki ya Tanzania huchezwa kwa mauno kuzungushwa!!!
swadaktaar...
kuanzia mwanadilatu, kibugumo, geza ulole, samvula chole, msanga, manelomango, malumbo, masaki mpaka panga la mwingereza kote miuno feni...
Wimbo mzuri sana. Ama kweli Diamond ni mfalme wa bongo fleva, Tanzania haijawai kupata msanii wa design yake tokea uhuru.
Sioni haja ya kufungia ngoma nzuri kama ile aisee, na ile mizigo safi sana
hahahahahaWaifungie wapi?
Au ulikunywa bila kutikisa?
Siku nyingine fuata maelekezo kabla ya kunywa!