Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,172
Ni supportive kwa namna gani?Hzo nduraaaa c mchezo very supportive wakati wa kungonoka
Ni supportive kwa namna gani?Hzo nduraaaa c mchezo very supportive wakati wa kungonoka
kwenye hiyo avatar yako ndivyo ulivyo..?
Asante mkuu!Unaikata kisha unapakaza yale majimaji yake kwenye PUNYE.
Kipindi cha mitihani tumezibeba sana chuoni ati msimamizi asikae darasani wenye nyenzo zao wazitumie, lazima uwe nayo ukiikataa wewe msalitiNdura,aka Tura,au Ndulele enzi za utoto nlishapata hela kwa kuchuma mizizi ya hiyo mimea kuna mama mmoja jirani yetu alinipa hiyo kazi hiyo.
Hahahahahaaaa,umenichekesha sana na nimekumbuka mbali kwa kweli,nakumbuka pia mambo ya utoto tulikua tunaambiana kwamba ukitaka demu wako asikuache siku ya kwenda kufanya nae mambozz upasue na yale maki maki yake upake kwenye kichwa cha willy,basi hapo demu wako hatokuacha kwani raha atakayopata hakuna mfano.Kipindi cha mitihani tumezibeba sana chuoni ati msimamizi asikae darasani wenye nyenzo zao wazitumie, lazima uwe nayo ukiikataa wewe msaliti
Duuu imani hizi!!Hhah
Hahahahahaaaa,umenichekesha sana na nimekumbuka mbali kwa kweli,nakumbuka pia mambo ya utoto tulikua tunaambiana kwamba ukitaka demu wako asikuache siku ya kwenda kufanya nae mambozz upasue na yale maki maki yake upake kwenye kichwa cha willy,basi hapo demu wako hatokuacha kwani raha atakayopata hakuna mfano.
Mbona hilo jina linataka kufanana na hili "ntola" likimaanisha ndulele?Tura.
Ndo hiyo hiyo ni lugha tuu ndo tofauti maana ile ile.Mbona hilo jina linataka kufanana na hili "ntola" likimaanisha ndulele?
Hhah
Hahahahahaaaa,umenichekesha sana na nimekumbuka mbali kwa kweli,nakumbuka pia mambo ya utoto tulikua tunaambiana kwamba ukitaka demu wako asikuache siku ya kwenda kufanya nae mambozz upasue na yale maki maki yake upake kwenye kichwa cha willy,basi hapo demu wako hatokuacha kwani raha atakayopata hakuna mfano.
Hahahahaaaa! wee nawe acha mambo yako.... hiyo ilikuwa ni mambo ya kitoto tu,tunadanganyana, maana sina uhakika kama yale majimaji kama hayawashi.Mi nataka mtu fulani apake hiyo kwenye nanihii yake siku tutakayo nanihii ili nisimuache..... maana akigeukia kwa wengine tuu kuna sauti inaniambia muache ana wanawake wengi huyo
Hahahahaaaa! wee nawe acha mambo yako.... hiyo ilikuwa ni mambo ya kitoto tu,tunadanganyana, maana sina uhakika kama yale majimaji kama hayawashi.
Yap! itakua poa sana,Hebu nenda chap kwa Mongoo huyo then ikiwa kweli inafanya hiyo shughuli uje na majibu hapa ili tuweze changamkia fursa ya tiba mbadala, maana nasikia tabibu nani sijui! anatafutwa na polisi,sasa wakati yeye yupo mafichoni huko,hebu fanya kweli kwa Baba yeyoo huko tuweze kuchangamkia fursa huku,pesa ya njenje hii,hahaaSaa nyingine vitu kama hivi vinakuwaga na ukweli sema tuu haviwekwi wazi vinabaki utani utani tuu na utoto utoto..... wamasai wanajua haya mambo naona niende kwa baba yoyoo aniambie.