laussane
JF-Expert Member
- Oct 8, 2009
- 255
- 132
Ukimaanisha choo au?
Mkuu nilimaanisha toilet paper haraka ya kuandika hiyo
Ukimaanisha choo au?
Uwiii mwingine anapiga miayo kakuangalia usoni...
Au anaongea huku anapiga mswaki...
Mwingine anaongea na chakula mdomoni...
Mwingine hajapiga mswaki anakuongelea usoni kbs khaaa...
hmmm hapo umeniziba mdomo kbs:A S-frusty2:Mbona kuna wengine wanalamba huko unakosema kunakusababisha usishikane mikono au kusalimiana kwa mikono na wengine?
hmmm hapo umeniziba mdomo kbs:A S-frusty2:
hahahaha nina rafiki yangu huyo aisee akisalimiwa na mkaka kwa ku shake hand lazima akanawe, ananawa mikono ata mara 20 kwa siku namuuliza why this my dear, anasema huwa wakienda kushii hawanawi mikono kwaiyo inamtia kinyaa, twih twih twih tuache kutumia toilet jamani maji nayo yana nafasi yake
Sasa kila mtu akiwa anaziponda tabia hizi, kina nani wafanyayo hayo huko mitaani!!!! lna maana humu wote ni wastaarabu?
Wafanyayo hayo, hawajajiunga jf watoe sababu za kufanya hivyo laivuuuuu!!!!
Anyway....
hebu waambie na jambo lakupiga mswaki barabrani mwingine hadi dukani namuswwakiKuna tabia ambazo si nzuri kwenye jamii kama zifuatazo;
1. Kuchokonoa pua kwa vidole (hasa mbele ya watu),
2. Kuchokonoa masikio kwa vidole (hasa mbele za watu),
3. Kubeua (kucheua kwa sauti kuubwa "braaaah) (hasa mbele za watu)
4. Kukaaa na "toothpick" muda mrefu mdomoni kama "lolly pop"?
5. na tabia nyingine kama hizo.
imagine mtu anatoka kuchokonoa pua halafu anakusalimia kwa mkono, mmmmmmh, sio afya na haipendezi hata kidogo.
TUJIREKEBISHE kwa kutumia TISHU, HANDKERCHIEF n.k. Maisha ni usafi wa ujumla na sio kubadilisha ch.p na b.xer kila siku tu.
Mokoyo
huyo anatatizo la kisaikolojia linaitwa OCD
Aisee, this issue is very serious. Huh huh huh huh !!kuvuta sigara na kujamba kwenye daladala, alafu mjambaji anajifanya kutojua kinachoendelea!!
Na mwingine anajijua kabisa anamafua au kifua lakini wala hatembei na kitambaa basi usiombe uwe kwenye dala dala alafu umekaa nae siti moja utakoma, na hiyo ni sana sana kwa wanaume
Kujamba ni afya Mkuukuvuta sigara na kujamba kwenye daladala, alafu mjambaji anajifanya kutojua kinachoendelea!!
Very seriousAisee, this issue is very serious. Huh huh huh huh !!
Ndio utamaduni atiiiiiwekwe kweny katiba kabisa mambo ya
kushikana mkono yaishe