Hii ni sheria kandamizi kwa Mwanamke

Hii ni sheria kandamizi kwa Mwanamke

Tuangalie kwenye Kitabu cha Sahih Bukhari kipengere Kitabu cha Ndoa
View attachment 3584446
Hadithi ya Aisha (r.a) kuwa mtu Fulani alimwacha mkewe talaka tatu, yule mwanamke akaolewa na mwanamme mwingine ambaye vile vile alimuacha. Mtume (s.a.w) akaulizwa kama mwanamke huyu anaweza au hawezi kuolewa na mume wake wa kwanza? Mtume (s.a.w) akajibu kuwa, ‘Hawezi kuolewa na aliyekuwa mume wake wa kwanza hadi yule mume wake wa pili amuingilie au awe amekwisha muingilia.’” (Bukhari, Hadithi Na. 187, Juzuu ya 7)

Je TORATI inasemaje kwa tukio kama hilo?

Katika Kumbukumbu la Torati 24:1–4 Mungu aliweka sheria hii wazi sana

Mwanamke akiachwa na mume wake, akaenda kuolewa na mume mwingine, kisha huyo wa pili naye akamuacha au akafa
mume wake wa kwanza HATARUHUSIWA kumwoa tena.
Jambo hilo ni chukizo mbele za Bwana.

Kwa lugha nyepesi

TORATI INASEMA 👇👇
Mume wa kwanza anamwacha
Mwanamke anaolewa tena
Mume wa pili anamwacha / anakufa
Mwanamke anatamani kurudi kwa ex wake

Mungu anasema:
USIFANYE HIVYO.
“Mume wake wa kwanza asimtwae tena awe mkewe.”

Muhammad anapingana na Torati anasema 👇

mwanamke huyo anaweza kurudi kwa mume wa kwanza ilimradi tu alale na wa pili.

Hii ndiyo iliyozaa ile dhana ya halala marriage.
Yaani ndoa ya pili inafanywa kama daraja la kumrudisha kwa wa kwanza.

TORATI haisemi “subiri alale na wa pili.” inasema:

Akishaingia kwenye ndoa ya pili, mlango wa kurudi kwa wa kwanza umefungwa.

Hakuna:
kusubiri consummation,
kusubiri kuingiliwa,
wala kupanga ndoa ya muda.
Ni marufuku moja kwa moja.

Mungu alikuwa anazuia:
mwanamke asiwe kama bidhaa ya kupokezana.

Lakini Muhammad anasema apewe👇
talaka tatu,
ndoa ya mpito,
Aliwe kwanza na huyu jamaa wa pili
kisha kurudi sasa

Kumbuka Sharti ALIWE kwanza ,

UKIFATILIA VIZURI UTAKUJA KUONA MUHAMMAD ALIKUWA ANAJITENGENEZEA SHERIA KAMA HIZI ILI KUWALA WANAWAKE KIULAINI

View: https://youtube.com/shorts/w65BMMscNCA?is=c0Cfy3QVpES_IkaA
 
View: https://www.instagram.com/reel/DXbDAv3kU8o/?igsh=MW1nZHl6eG45bDl3ZQ==
 
Mohammad alipaswa kutulia kwanza ajielimishe mambo yote ya dini alizozikuta kabla hajaanzisha ya kwake.
 
Nini nilicho potosha? Kwani si ndivyo biblia imesema?
Mkishafunga ndoa mtatenganishwa na kifo?
LAKINI KAMA KWELI ULIKWENDA SHULE, KWA NINI UNAPOTEZA MUDA KULUMBANA NA DINI USIYO IAMINI???
Ni sawa na juha anayekwenda mahakamani kudai nyama ya chui iuzwe mabuchani wakali mwenyewe hali hiyo nyama na wala hana mpango wa kuila japo tunajua; kuna wanyama kama mamba nk wanapenda hicho kitoweo...
Wengine tunapata elimu kupitia maandiko yake.
 
Tuangalie kwenye Kitabu cha Sahih Bukhari kipengere Kitabu cha Ndoa
View attachment 3584446
Hadithi ya Aisha (r.a) kuwa mtu Fulani alimwacha mkewe talaka tatu, yule mwanamke akaolewa na mwanamme mwingine ambaye vile vile alimuacha. Mtume (s.a.w) akaulizwa kama mwanamke huyu anaweza au hawezi kuolewa na mume wake wa kwanza? Mtume (s.a.w) akajibu kuwa, ‘Hawezi kuolewa na aliyekuwa mume wake wa kwanza hadi yule mume wake wa pili amuingilie au awe amekwisha muingilia.’” (Bukhari, Hadithi Na. 187, Juzuu ya 7)

Je TORATI inasemaje kwa tukio kama hilo?

Katika Kumbukumbu la Torati 24:1–4 Mungu aliweka sheria hii wazi sana

Mwanamke akiachwa na mume wake, akaenda kuolewa na mume mwingine, kisha huyo wa pili naye akamuacha au akafa
mume wake wa kwanza HATARUHUSIWA kumwoa tena.
Jambo hilo ni chukizo mbele za Bwana.

Kwa lugha nyepesi

TORATI INASEMA 👇👇
Mume wa kwanza anamwacha
Mwanamke anaolewa tena
Mume wa pili anamwacha / anakufa
Mwanamke anatamani kurudi kwa ex wake

Mungu anasema:
USIFANYE HIVYO.
“Mume wake wa kwanza asimtwae tena awe mkewe.”

Muhammad anapingana na Torati anasema 👇

mwanamke huyo anaweza kurudi kwa mume wa kwanza ilimradi tu alale na wa pili.

Hii ndiyo iliyozaa ile dhana ya halala marriage.
Yaani ndoa ya pili inafanywa kama daraja la kumrudisha kwa wa kwanza.

TORATI haisemi “subiri alale na wa pili.” inasema:

Akishaingia kwenye ndoa ya pili, mlango wa kurudi kwa wa kwanza umefungwa.

Hakuna:
kusubiri consummation,
kusubiri kuingiliwa,
wala kupanga ndoa ya muda.
Ni marufuku moja kwa moja.

Mungu alikuwa anazuia:
mwanamke asiwe kama bidhaa ya kupokezana.

Lakini Muhammad anasema apewe👇
talaka tatu,
ndoa ya mpito,
Aliwe kwanza na huyu jamaa wa pili
kisha kurudi sasa

Kumbuka Sharti ALIWE kwanza ,

UKIFATILIA VIZURI UTAKUJA KUONA MUHAMMAD ALIKUWA ANAJITENGENEZEA SHERIA KAMA HIZI ILI KUWALA WANAWAKE KIULAINI

Tatizo lako kubwa la ni kwamba umechanganya sheria mbili tofauti na mazingira tofauti.

Kwanza kabisa, Hadithi ya Sahih al-Bukhari haifundishi “halala ya kupanga” kama biashara ya mwanamke. Mtume Muhammad (s.a.w) alilaani kabisa ndoa ya kupanga ili mwanamke arudi kwa mume wa kwanza. Katika Uislamu, ndoa ya pili lazima iwe ndoa halali ya kweli, si mchezo wa kupanga kulala halafu kurudiana.

Pili, unadanganya kuhusu Bible kana kwamba Biblia haikuruhusu kabisa mwanamke kurudi. Hebu angalia vizuri:

Katika Yeremia 3:1 Mungu mwenyewe anatumia mfano wa Israeli ambaye “aliachwa” lakini bado anamwita arudi kwake:

“Watu husema, Mtu akimwacha mkewe, naye akaenda kuwa wa mtu mwingine, je! atamrudia tena? ... Lakini wewe umefanya uasherati na wapenzi wengi; lakini nirudie mimi, asema BWANA.”
Hapa Mungu anaonyesha rehema juu ya sheria ya Kumbukumbu 24. Kwa hiyo hata ndani ya Biblia kuna tofauti kati ya sheria ya kiraia na rehema ya Mungu.

Pia wewe unayesema Muhammad “alikuwa anajitungia sheria za kuwatafuta wanawake” una tatizo kubwa sana kwa sababu Biblia yako ina matukio mengi ambayo wewe huwezi kuyatetea kirahisi:

Solomon alikuwa na wake 700 na masuria 300 (1 Wafalme 11:3).
David alichukua wake wengi na pia akamchukua mke wa mtu mwingine, Bathsheba.
Katika Hosea 1:2 Mungu anamwambia nabii aoe “mwanamke wa uasherati.”
Je, utasema manabii hao walikuwa “wanajitengenezea sheria za wanawake”?

Zaidi ya hapo, sheria ya Kumbukumbu 24:1–4 ilikuwa sheria ya Wayahudi kuhusu talaka za kawaida, lakini Uislamu una mfumo tofauti wa talaka:

Talaka tatu si mchezo.
Kuna eda.
Kuna upatanisho kabla ya kuvunja ndoa.
Na baada ya talaka tatu, mwanamke hawezi kurudi mpaka aolewe ndoa nyingine ya kweli, si ya kupanga.

Kwa hiyo Uislamu haukufanya mwanamke “bidhaa”; bali uliweka kizuizi ili wanaume wasichezee talaka kila siku wakijua wanaweza kumrudisha mwanamke muda wowote.

“Ukisoma maandiko kwa chuki utaona migongano kila mahali. Lakini ukisoma kwa uadilifu utaona kuwa Torati ilikuwa sheria ya taifa la Israeli, na Uislamu ulikuja na sheria zake.

Tofauti ya sheria si ushahidi kwamba Muhammad alikuwa anajitungia dini.

Kama hivyo ndivyo, basi hata Yesu alipobadilisha baadhi ya sheria za Musa angeitwa hivyo pia.”
 
Mohammad alipaswa kutulia kwanza ajielimishe mambo yote ya dini alizozikuta kabla hajaanzisha ya kwake.

Ukisema Muhammad (s.a.w) ‘hakujielimisha dini zilizokuwepo’, basi kwanza jiulize Biblia yako inasema nini kuhusu manabii ambao hawakusoma kwenye vyuo vya dini lakini walitumwa na Mungu.

Moses alikuwa mchungaji wa kondoo jangwani, si kuhani wa Misri.
David alikuwa mchunga kondoo.
Amos alisema wazi:

‘Mimi sikuwa nabii wala mwana wa nabii; bali nalikuwa mchunga ng’ombe… BWANA akaniambia, Nenda ukawatabirie watu wangu Israeli.’ (Amosi 7:14–15)

Hata kuhusu Jesus Christ, Wayahudi walishangaa wakisema:

‘Huyu amejuaje maandiko, naye hakusoma?’ (Yohana 7:15)

Kwa mantiki yako basi hata Yesu angekataliwa kwa sababu “hakusoma rasmi.”

Biblia yako pia inasema:

‘Mungu amevichagua vitu dhaifu vya dunia ili awaaibishe wenye nguvu.’ (1 Wakorintho 1:27)

Kwa hiyo hoja ya elimu si hoja ya ukweli wa unabii.

Halafu kama tunazungumzia kujua dini zilizotangulia, Muhammad alikuja kuthibitisha mambo mengi yaliyopo ndani ya Biblia:

kumuamini Abraham, Moses, Jesus Christ, kuzaliwa kwa Yesu na bikira, miujiza ya Yesu, siku ya hukumu, pepo na moto.
Swali ni hili: Kama alikuwa ‘anatunga dini’, aliwezaje kuwafanya mamilioni ya watu wamwabudu Mungu mmoja badala ya masanamu ambayo Waarabu walikuwa nayo?

Na kama kipimo ni ‘kujifunza dini zilizokuwepo’, mbona Paul the Apostle alibadilisha mafundisho mengi ya Torati baada ya Yesu? Mbona Wakristo wanamfuata Paulo ambaye hata hakukutana na Yesu wakati wa maisha yake?

Kwa hiyo hoja zenu nyingi zinaanguka kwa Biblia yenyewe mnayoitumia.”
 
Back
Top Bottom