Hii ni sheria kandamizi kwa Mwanamke

Hii ni sheria kandamizi kwa Mwanamke

Mudi kama mudi alikuwa anapenda mbususu kuliko kawaida. Yaani hakuna aya ya Quran ambayo haikuzungumzia hiyo kitu.
 
Kumekucha na Hamis 😀
😂😂Mpaka ulambwe asali
FB_IMG_1777827508524_2.jpg
 
Mudi kama mudi alikuwa anapenda mbususu kuliko kawaida. Yaani hakuna aya ya Quran ambayo haikuzungumzia hiyo kitu.
Siku moja kapita kwa kina Aisha ,kamkuta anachezea midoro na kubembea ,kamuita mama yake

Kaomba appointment,ndio mwanzo wa kukatongoza ka Aisha miaka 6 tu
 
Hakika, ukichunguza bila kuwa na bias, hiyo rule inaacha maswali mengi kuliko majibu.
 
Tuangalie kwenye Kitabu cha Sahih Bukhari kipengere Kitabu cha Ndoa
View attachment 3584446
Hadithi ya Aisha (r.a) kuwa mtu Fulani alimwacha mkewe talaka tatu, yule mwanamke akaolewa na mwanamme mwingine ambaye vile vile alimuacha. Mtume (s.a.w) akaulizwa kama mwanamke huyu anaweza au hawezi kuolewa na mume wake wa kwanza? Mtume (s.a.w) akajibu kuwa, ‘Hawezi kuolewa na aliyekuwa mume wake wa kwanza hadi yule mume wake wa pili amuingilie au awe amekwisha muingilia.’” (Bukhari, Hadithi Na. 187, Juzuu ya 7)

Je TORATI inasemaje kwa tukio kama hilo?

Katika Kumbukumbu la Torati 24:1–4 Mungu aliweka sheria hii wazi sana

Mwanamke akiachwa na mume wake, akaenda kuolewa na mume mwingine, kisha huyo wa pili naye akamuacha au akafa
mume wake wa kwanza HATARUHUSIWA kumwoa tena.
Jambo hilo ni chukizo mbele za Bwana.

Kwa lugha nyepesi

TORATI INASEMA 👇👇
Mume wa kwanza anamwacha
Mwanamke anaolewa tena
Mume wa pili anamwacha / anakufa
Mwanamke anatamani kurudi kwa ex wake

Mungu anasema:
USIFANYE HIVYO.
“Mume wake wa kwanza asimtwae tena awe mkewe.”

Muhammad anapingana na Torati anasema 👇

mwanamke huyo anaweza kurudi kwa mume wa kwanza ilimradi tu alale na wa pili.

Hii ndiyo iliyozaa ile dhana ya halala marriage.
Yaani ndoa ya pili inafanywa kama daraja la kumrudisha kwa wa kwanza.

TORATI haisemi “subiri alale na wa pili.” inasema:

Akishaingia kwenye ndoa ya pili, mlango wa kurudi kwa wa kwanza umefungwa.

Hakuna:
kusubiri consummation,
kusubiri kuingiliwa,
wala kupanga ndoa ya muda.
Ni marufuku moja kwa moja.

Mungu alikuwa anazuia:
mwanamke asiwe kama bidhaa ya kupokezana.

Lakini Muhammad anasema apewe👇
talaka tatu,
ndoa ya mpito,
Aliwe kwanza na huyu jamaa wa pili
kisha kurudi sasa

Kumbuka Sharti ALIWE kwanza ,

UKIFATILIA VIZURI UTAKUJA KUONA MUHAMMAD ALIKUWA ANAJITENGENEZEA SHERIA KAMA HIZI ILI KUWALA WANAWAKE KIULAINI

Hivi tofauti na cheating si kwenye Biblia hakuna talaka?
Kwa mujibu wa Biblia hata kama mnatoana roho, mnalazimishwa kuishi kwa pamoja hadi kifo kiwatenganishe.
SASA HAYO YA WAISLAM YANAKUUMIZA NINI KICHWA NA WEWE HUYA AMINI ???????
IFIKE MAHALA KILA MTU AAMINI ANACHOKIAMINI, WEWE UNA DINI YAKO NA WAISLAM WANA DINI YAO.
 
Hivi tofauti na cheating si kwenye Biblia hakuna talaka?
Kwa mujibu wa Biblia hata kama mnatoana roho, mnalazimishwa kuishi kwa pamoja hadi kifo kiwatenganishe.
SASA HAYO YA WAISLAM YANAKUUMIZA NINI KICHWA NA WEWE HUYA AMINI ???????
IFIKE MAHALA KILA MTU AAMINI ANACHOKIAMINI, WEWE UNA DINI YAKO NA WAISLAM WANA DINI YAO.
Acha UPOTOSHAJI kijana
 
Acha UPOTOSHAJI kijana
Nini nilicho potosha? Kwani si ndivyo biblia imesema?
Mkishafunga ndoa mtatenganishwa na kifo?
LAKINI KAMA KWELI ULIKWENDA SHULE, KWA NINI UNAPOTEZA MUDA KULUMBANA NA DINI USIYO IAMINI???
Ni sawa na juha anayekwenda mahakamani kudai nyama ya chui iuzwe mabuchani wakali mwenyewe hali hiyo nyama na wala hana mpango wa kuila japo tunajua; kuna wanyama kama mamba nk wanapenda hicho kitoweo...
 
Back
Top Bottom