Hii ni sala ya dhehebu gani???

Hii ni sala ya dhehebu gani???

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,139
[emoji2][emoji2]
IMG-20220415-WA0051.jpg


Sent from my M2103K19G using JamiiForums mobile app
 
Ni sala ya wamisionari wa kikatoliki wakati wakieneza ukatoliki Afrika kabka hata ya ukoloni. Neno washenzi limetafsiriwa kutoka neno "barbaric" lugha ya kingereza likimaanisha watu wanaoishi maisha ya kutokujali ustaarabu wa Mungu. Kipindi cha medieval time ulaya nchi kama Ujeremani, Ufaransa na Uhispaniola zilitambuliwa kama Barbaric states ikimaanisha mataifa ya kishenzi,
 
[emoji2][emoji2][emoji2] washenzi waafrika? ,, Mkuu tuoneshe jina la kitabu na mwandishi tutajua dini gani na dhehebu kabisa.
Yeah washenzi wa Afrika !. Dunia yote kila taifa lina
washenzi wake
Mafirauni wake
Makafiri wake
Wapuuzi wake
Wapumbavu wake
Wajinga wake
 
Back
Top Bottom