Hii ni 'pure class'...

Hii ni 'pure class'...

Labda sikumwelewa The Boss, nilichoelewa ni kwamba tunatakiwa tukumbuke mazuri ya waliopita na siyo kuzungumzia mabaya tu. tunatakiwa tusema Thank you kwa starehe tulizopata tulipokuwa nao kwani kwa kuwa nao tu kunadhihirisha kuna mazuri yalikuwepo.......

Don't worry babu, tumeshayamaliza

Kweli utu uzima dawa aisee.....

Yaani hapa ndipo huwa nakuvulia kofia....

Ngoja nisiseme mengi ila kuna watu mna vipaji vya level ya stars kibao....

Ubarikiwe sana Fixed Point,
 
Last edited by a moderator:
Dah hii thread nimeitafutaje....

Mpaka nimesahau wale niliokuwa nataka kuwatag aisee...

Mkuu The Boss thank you for this. Nimeitumia sana hii kwenye ushauri nasihi.

It is another world cup year...this time sijui ni nani ataambiwa maneno haya!

Heaven Sent. Evelyn Salt, Heaven on Earth Daby Khantwe RRONDO ...enzi hizi mlikuwa mmeshajiunga JF kweli!???
 
Im proud kusema nilikuwepo na ID hii hii. Wengi waliochangia uzi huu enzi hizo wamebadili ID now, ingawa wengi wanaamini kuwa hawapo JF.
 
Dah hii thread nimeitafutaje....

Mpaka nimesahau wale niliokuwa nataka kuwatag aisee...

Mkuu The Boss thank you for this. Nimeitumia sana hii kwenye ushauri nasihi.

It is another world cup year...this time sijui ni nani ataambiwa maneno haya!

Heaven Sent. Evelyn Salt, Heaven on Earth Daby Khantwe RRONDO ...enzi hizi mlikuwa mmeshajiunga JF kweli!???
kipindi hiko sikuwahi kusoma kwa umakini hii thread,
But it all make perfect sense right now "Pure class"
 
Back
Top Bottom