Hii ni Part 2 ya Makalio Bar Temeke

Mkuu ishia hapohapo. utasababisha foleni.

Ha ha haaaa! mastori km haya pipo hawaondoki onLINE! m2 mweupe akiamka Kitu cha kwanza kushika nikichwa kwamaana yakuumiza AKILI lkn m2 Mweusi akiamka kitu ya kwanza kushika mavituz huko chini maana hiyo ndo hazina yake! kaazi kweli kweli
 

Doh....!!
Mkuu, nikirudi Tz lazima nitie mguu hapo maana pananihusu. Asante kwa taarifa
 

Ahsanta mkuu
 
shetani anatikuzwa kiliko Mungu mwenyewe, ole wako we mwanadamu ushabikiaye mambo ya dunia hii yasiyompendeza Mungu
 

kwa hii ramani lazima mtu apotee!
mi napafahamu lakini chichemi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…