Hii ni Part 2 ya Makalio Bar Temeke

Temeke wapi hiyo,tujuze

katika kitu ambacho Mungu ametujaalia kama kipaji na the best gift ni hiki! Wengine wakazana kufikitia science na tevhnolojia ngumu ngumu mpk wananyonyoka nywele! Sisi aka tunafikiria ni baa gani inawanawake wazuri!
 
Ikifika saa tatu ndio balaa maana wahudumu wanakaa juu ya mapaja ya wanaume. Wale mabingwa wa kunawa hapo ndio kambi yao.
Dogo acha utani! .... kwetu huko naingia next week, sitaki mambo ya viwanja vikubwa (actually siyawezi).
 
Umemdaka pazuri...!!? anataka akawakague hao wahudumu kama ni salama kwa matumizi ya wateja!?

Afu najua hicho kitaa unakijua manake hakiko mbali na maeneo yako ya utukufu.
 
Afu najua hicho kitaa unakijua manake hakiko mbali na maeneo yako ya utukufu.

Tatizo mitaa ile jirani mno na ofisini. Kwa sasa niko Lumo huku.. Ennie nam deep hapatikani.
 
Last edited by a moderator:

Hahaha kweli aisee hata mie nliwah enda shuhudia uumbaj wa mungu
 
 
Umewapa bonge la promo.weekend hii patakuwa hapatoshi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…