Hii ni Part 2 ya Makalio Bar Temeke

Hakika wewe u kijana mwema sana. Leo ntakufanyia maombi.

Ha ha haaa, abarikiwe sio? Ila mleta uzi una akili sana, yaani umeleta kitu watu roho inapenda, ila wadau mkienda kama itabidi kufanya drilling basi chondechonde msiuze mechi, kumbukeni kuvaa jezi.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Napajua sana hapo.. ila huwa sipapendi bora ninywee pale kwa masangati kwa Anna 'binti mpoleeee'
 
Nipe ranan vizuri babu yakoi nikatize ya dunia

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 

Nyuke bei gani?!
 
Mbeya kuna ------ pub huko wahudumu wake wanavaa madera tu na wote mashallha.
 
Tehetehe umenikumbusha mambo ya Arusha, mara ya kwanza kufika mwenyeji wangu akaniambia, ukishashuka KIA panda Shuttle za kunifikisha Arusha. Then nichukue tax kwenda MATA-KO BAR, nilijua utani wa rafiki nikauliza jina jingine akanitajia kitu kama Ausha Park. Nilipofika arusha niaona kaa kusema MATA-KO BAR ni tusi nikamuelekeza tax dreva anipeleke Arusha Park, niliposhuka kumpigia mwenyeji ananielekeza mazingira tofauti, tax dreva akaniuliza au ni MATA-KO BAR nikasema ndiyo. Bwana wee kufika hapo wahudumu wote wanavuta tela na watu ni nyomi kuona uumbaji.
 

Christmas nakuja Arusha siendi Rombo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…