Hii ni miujiza siamini hata! Nahisi naota

Bei Rahisi Electronics

Senior Member
Joined
Apr 4, 2025
Posts
197
Reaction score
583
Leo nilikua nasafiri kuelekea Morogoro Wakati nipo kwenye gari ya Temeke-Mbezi (Dala Dala) konda akaanza kukusanya pesa kama kawaida yao .

Ghafla tukaanza kusikia malumbano

Sauti Kali ya konda ilisikika .

"Kwa Nini hukunambia mwanzo...

"We bibi mwanga nini

"Mapema yote hii
"Hujui iyo iyo100 Kubwa ,
"Usinitafutie matatizo naomba 100 yangu nauli haijatimia hii .

Maneno yote hayo alikua anaambiwa mama mtu mzima tena kachoka hasa .

Watu wote kwenye gari kimya, Bibi wa watu kainamia chini ,Sauti ya konda Kali ilitawala ndani ya Dala dala.

Nilijiuliza sh 100 huyu konda ndo yamtoke maneno yote, Ukingalia umri wa huyu abilia ni kama mama yake.

Konda huyu alikua na macho mekundu mithili ya pili pili iliyoiva, Mdomo wake ulikua mweusi tiii .
Roho iliniuma maana niliona kama mama yangu anaambiwa vile.

Nilitoa noti ya shilingi elfu 10 Kisha nikampa konda .

"Hiyo elfu 10 kata tsh 100 unayomdai huyo mama Kisha chenji inayobaki mpatie huyo mama.
Watu wote wakageuka nyuma maana niliongea kwa hisia sana .

Konda hakuongea tena, Hakuweza kunitazama usoni haya ilimshika, sura lake lilikua kama mgonjwa wa bawasiri akijisaidia haja kubwa chooni.

Yule mama kwa sauti ya chini iliyochanganyika na mfadhahiko huku macho yake yakilengwa na machozi kwa mbali akasema "ahsante mwanangu Mungu akubariki"

Gari lilifika mbezi mwisho nikashuka safari ikaanza kuelekea Morogoro.

Wakati nipo kwenye gari simu iliita namba ngeni ikinijulisha Kuwa maombi Yako ya kazi yamejibiwa hivyo angalia Katika Email Yako.

Nilishutka sana maana Miezi 3 sasa imepita tangu nitume maombi ya kazi CRDB BANK, kiukweli nilishakataga tamaa.

Email yangu inaonesha nimekubaliwa, Jumatatu inahitajika niwasili ofsni nikiwa na vyeti vyangu original.

Ilinibidi nishuke kituo cha Ruvu nikuludi nyumbani.

Morogoro nilikua naenda kwa Rafiki yangu Michael mtoto wa Mzee Makacha kumsalimia.

Nimejifunza kitu kupitia tukio hili.

Karma IPO, Utalomfanyia mtu nawe utafanyiwa either kwa direct or indirect hivyo tujikite kufanya mema .

Alafu, Kama jambo lipo ndani ya uwezo wako msaidie huyu mtu usiwe kikwazo
Niamini Mimi, Mungu yupo na atakulipa .
 
@NO REFORM NO ELECTION
 
Kwahiyo mkuu mchakato wa kukita kwenye hiyo kazi ya CRDB ulifanyika baada ya kutoa hiyo 10000 au ulikua mchakato wa mda mrefu?
 
Asante kwa taarifa...
 
Hakika mkuu, shukrani sana kwa ushuhuda huu.
" Tena tusichoke kutenda Mema; maana tutavuna kwa wakati wake, tusipozimia roho. Kwa hiyo kadiri tupatavyo nafasi na tuwatendee watu wote mema; na hasa jamaa ya waaminio. " - Wagalatia 6: 9-10.
 
Leo nilikua nasafiri kuelekea Morogoro Wakati nipo kwenye gari ya Temeke-Mbezi (Dala Dala) konda akaanza kukusanya pesa kama kawaida yao .

Ghafla tukaanza kusikia malumbano

Sauti Kali ya konda ilisikika .

"Kwa Nini hukunambia mwanzo...

"We bibi mwanga nini

"Mapema yote hii
"Hujui iyo iyo100 Kubwa ,
"Usinitafutie matatizo naomba 100 yangu nauli haijatimia hii .

Maneno yote hayo alikua anaambiwa mama mtu mzima tena kachoka hasa .

Watu wote kwenye gari kimya, Bibi wa watu kainamia chini ,Sauti ya konda Kali ilitawala ndani ya Dala dala.

Nilijiuliza sh 100 huyu konda ndo yamtoke maneno yote, Ukingalia umri wa huyu abilia ni kama mama yake.

Konda huyu alikua na macho mekundu mithili ya pili pili iliyoiva, Mdomo wake ulikua mweusi tiii .
Roho iliniuma maana niliona kama mama yangu anaambiwa vile.

Nilitoa noti ya shilingi elfu 10 Kisha nikampa konda .

"Hiyo elfu 10 kata tsh 100 unayomdai huyo mama Kisha chenji inayobaki mpatie huyo mama.
Watu wote wakageuka nyuma maana niliongea kwa hisia sana .

Konda hakuongea tena, Hakuweza kunitazama usoni haya ilimshika, sura lake lilikua kama mgonjwa wa bawasiri akijisaidia haja kubwa chooni.

Yule mama kwa sauti ya chini iliyochanganyika na mfadhahiko huku macho yake yakilengwa na machozi kwa mbali akasema "ahsante mwanangu Mungu akubariki"

Gari lilifika mbezi mwisho nikashuka safari ikaanza kuelekea Morogoro.

Wakati nipo kwenye gari simu iliita namba ngeni ikinijulisha Kuwa maombi Yako ya kazi yamejibiwa hivyo angalia Katika Email Yako.

Nilishutka sana maana Miezi 3 sasa imepita tangu nitume maombi ya kazi CRDB BANK, kiukweli nilishakataga tamaa.

Email yangu inaonesha nimekubaliwa, Jumatatu inahitajika niwasili ofsni nikiwa na vyeti vyangu original.

Ilinibidi nishuke kituo cha Ruvu nikuludi nyumbani.

Morogoro nilikua naenda kwa Rafiki yangu Michael mtoto wa Mzee Makacha kumsalimia.

Nimejifunza kitu kupitia tukio hili.

Karma IPO, Utalomfanyia mtu nawe utafanyiwa either kwa direct or indirect hivyo tujikite kufanya mema .

Alafu, Kama jambo lipo ndani ya uwezo wako msaidie huyu mtu usiwe kikwazo
Niamini Mimi, Mungu yupo na atakulipa .
Huo uliokuwa ufunguo wako wa kupokea kile ulipaswa kuwa nacho, ulifanya jambo la ki-Mungu naye amefanya kile ulihitaji afanye
 
Kristo Aliyerudi Mtakatifu Olumba Olumba Obu
 
Attachments

  • FB_IMG_1750267823948.jpg
    FB_IMG_1750267823948.jpg
    46.6 KB · Views: 19
Back
Top Bottom