kweli mambo yameanza.samahani lakini mtambuzi,hapa mbele ya meza yangu kuna watu wamenikinga nashindwa kuona hiyo show ya wana chit chat.wapi kamati ya ulinzi?
Mtambuzi nataka hii birthday itawaliwe na Fanta Orange na Coca Pineapple wale walevi waende bar humu hakuna ushetani tenaNapenda kuchukua nafasi hii kuwaalika wana chit chat wote tukutake pale Tabata Ubaya Ubaya Mtambuzi PUB kwa ajili ya kusherehekea siku ya kuzaliwa kwa kijana mwenzetu Slave....
Kamati mbalimbali zitaundwa na hawa wa fuatao: cacico, Mmadame B, na snowhite wataunda kamati ya Kiduku Bishanga, Erickb52, watu8 wataunda kamati ya Vinywaji platozoom, @C6, manoah, Arushaone, na Eiyer wataunda kamati ya Muziki
Halafu Kipipi, charminglady, Ciello, FP, sweetlady, Nyamayao, Smile, ziinduna, lara 1, na Remmy wataongoza show ya KANGA MOKO.
Nicas Mtei atakuwa kwenye kamati ya usafiri...............
Mamndenyi atakuwa kwenye kamati ya maadili na nidhamu akisaidiwa na AshaDii
NItaendelea kuunda kamati ndogo ndogo kadiri ya majhitaji...
Karibuni
shemu tutake radhi mimi na mtu mzima mwenzangu Nyamayao....Napenda kuchukua nafasi hii kuwaalika wana chit chat wote tukutake pale Tabata Ubaya Ubaya Mtambuzi PUB kwa ajili ya kusherehekea siku ya kuzaliwa kwa kijana mwenzetu Slave....
Kamati mbalimbali zitaundwa na hawa wa fuatao: cacico, Mmadame B, na snowhite wataunda kamati ya Kiduku Bishanga, Erickb52, watu8 wataunda kamati ya Vinywaji platozoom, @C6, manoah, Arushaone, na Eiyer wataunda kamati ya Muziki
Halafu Kipipi, charminglady, Ciello, @FP, sweetlady, Nyamayao, Smile, ziinduna, lara 1, na Remmy wataongoza show ya KANGA MOKO.

Ammeeeen....