Hii ni maalum kwa kaka yetu Slave...Happy Birthday Slave.............!!!!!!

hapa nafanya mazoezi mzee Mtambuzi ..... Patakuwa hapatoshi huko KWENYE KANGA MOKO!!!!!!

Kanga+Moko.JPG

angalia usijemtegua mwanetu shingo,utanibeba aisee
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday Slave , hope your day if filled with joy............and una ndoto zozote za kuwa HURU siku moja? May those dreams come true broda!!!
Mtambuzi hili jina la Slave limenikukmbusha kibao kimoja cha Britney......im slaaaaaaave for you (hey its just a song broda)
 
Last edited by a moderator:
weeeh, nilikuwa najikwatua sasa niko mwake. Umependeza besdei boy. Wifi yuko wapi, hebu vunja kikombe leo umtaje. Manake unafanya siri usikute wako wengi

kweli ulikuwa umejipanga.kuhusu kumtaja wala usiwe na wasi wasi ngoja tumalize hii sherehe kwanza.
 
Happy birthday Slave , hope your day if filled with joy............and una ndoto zozote za kuwa HURU siku moja? May those dreams come true broda!!!
Mtambuzi hili jina la Slave limenikukmbusha kibao kimoja cha Britney......im slaaaaaaave for you (hey its just a song broda)

thnx broda 4 wishng me.kuhusu kuwa huru,bado najipanga vizuri kwanza,unajua unaweza ukapewa uhuru afu ikawa ni bora hata ulivyokuwa mtumwa.?nisije nikapata uhuru afu nikalala na njaa.
 
Last edited by a moderator:
tooba. Sasa mtoto itakuwaje kama akiona hivi. Asije akatamani kirudi alikokuwa.

hahaha! Wewe king'ast nani kakurusu kuja huku wanapofanyia mazoezi? Hayo mazoez tu ushaanza kuogopa.kwenye kanga moko wanaruka mpaka sarakasi si utakimbia weye?
 
Back
Top Bottom