Hii ni maalum kwa kaka yetu Slave...Happy Birthday Slave.............!!!!!!

hapa nafanya mazoezi mzee Mtambuzi ..... Patakuwa hapatoshi huko KWENYE KANGA MOKO!!!!!!

Kanga+Moko.JPG
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Aisee dada yangu king'ast sijamuona au tayari kapombeka mpaka kasahau wajibu wake?
 
Aisee dada yangu king'ast sijamuona au tayari kapombeka mpaka kasahau wajibu wake?
weeeh, nilikuwa najikwatua sasa niko mwake. Umependeza besdei boy. Wifi yuko wapi, hebu vunja kikombe leo umtaje. Manake unafanya siri usikute wako wengi
 
Mtambuzi nataka hii birthday itawaliwe na Fanta Orange na Coca Pineapple wale walevi waende bar humu hakuna ushetani tena
Nafanya hivi kwa ajili ya mama mchungaji FP ..........!

Una pepo la kuharibu sherehe za watu wewe,ushindwe na ulegee katika jina la Uamusho. BTW HAPPY BIRTHDAY MKUU Slave
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom