Hii ni maalum kwa kaka yetu Slave...Happy Birthday Slave.............!!!!!!

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,806
2,000
myspace-graphics-funny-pictures2.jpg

Usiku umetoweka na jua limechomoza, kuashiria kwamba tunaianza siku mpya ya tarehe 6/12/2012 ambayo ndiyo siku aliyozaliwa kaka yetu, mjomba wetu, shemeji yetu, rafiki yetu na mwana JF mwenzetu Slave..........!
Ni furaha iliyoje siku ya leo kuamka asubuhi ukiwa mzima wa afya na kusherehekea siku yako hii maalum kwako. Shukrani pekee ziwaendee mama yako na baba yako kwa kutuletea kijana huyu ambaye kwa kweli kupitia maandishi yake hapa JF tumejifunza mengi, makala zenye kufikirisha, ucheshi na ununda katika kuchangia mada..........LOL

Nachukua nafasi hii mimi na shemeji yako mama Ngina na wenetu kukutakia kila la kheri katika kusherehekea siku yako hii ya kuzaliwa. Mwenye enzi Mungu mwingi wa rehema akujaalie maisha marefu wewe na familia yako.

Happy Birthday Slave
happy_birthday_00015.jpg
 
Last edited by a moderator:

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,806
2,000
Napenda kuchukua nafasi hii kuwaalika wana chit chat wote tukutake pale Tabata Ubaya Ubaya Mtambuzi PUB kwa ajili ya kusherehekea siku ya kuzaliwa kwa kijana mwenzetu Slave....

Kamati mbalimbali zitaundwa na hawa wa fuatao: cacico, Mmadame B, na snowhite wataunda kamati ya Kiduku Bishanga, Erickb52, watu8 wataunda kamati ya Vinywaji platozoom, @C6, manoah, Arushaone, na Eiyer wataunda kamati ya Muziki

Halafu Kipipi, charminglady, Ciello, @FP, sweetlady, Nyamayao, Smile, ziinduna, lara 1, na Remmy wataongoza show ya KANGA MOKO.

Nicas Mtei atakuwa kwenye kamati ya usafiri...............

Mamndenyi atakuwa kwenye kamati ya maadili na nidhamu akisaidiwa na AshaDii

NItaendelea kuunda kamati ndogo ndogo kadiri ya majhitaji...

Karibuni
 
Judgement

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
10,328
1,225
Kama yetu Mtumwa hongera sana!
Siha njema, utulivu wa akili with more achievements at your daily activities ndivyo nikuembeavyo toka kwake aliye na dhamana na pumzi na maisha yako.
Kila la kheri Slave.
 
Last edited by a moderator:

Slave

JF-Expert Member
Dec 6, 2010
5,313

asante sana kwa nasaha nami kama mwana msikivu nakuahidi kuzingatia hayo.
 
Last edited by a moderator:

Slave

JF-Expert Member
Dec 6, 2010
5,313
2,000
Aisee mtambuzi hawa wa makeup mbona wana kuja shera? Au walijua ni harusi?
 
Arushaone

JF-Expert Member
Mar 31, 2012
15,046
2,000
Happy birthday Slave. May you grow and became the oldest human being!
 
Last edited by a moderator:

Preta

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
24,325
2,000
Last edited by a moderator:

Erickb52

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
18,535
2,000
Napenda kuchukua nafasi hii kuwaalika wana chit chat wote tukutake pale Tabata Ubaya Ubaya Mtambuzi PUB kwa ajili ya kusherehekea siku ya kuzaliwa kwa kijana mwenzetu Slave....

Kamati mbalimbali zitaundwa na hawa wa fuatao: cacico, Mmadame B, na snowhite wataunda kamati ya Kiduku Bishanga, Erickb52, watu8 wataunda kamati ya Vinywaji platozoom, @C6, manoah, Arushaone, na Eiyer wataunda kamati ya Muziki

Halafu Kipipi, charminglady, Ciello, FP, sweetlady, Nyamayao, Smile, ziinduna, lara 1, na Remmy wataongoza show ya KANGA MOKO.

Nicas Mtei atakuwa kwenye kamati ya usafiri...............

Mamndenyi atakuwa kwenye kamati ya maadili na nidhamu akisaidiwa na AshaDii

NItaendelea kuunda kamati ndogo ndogo kadiri ya majhitaji...

Karibuni
Mtambuzi nataka hii birthday itawaliwe na Fanta Orange na Coca Pineapple wale walevi waende bar humu hakuna ushetani tena
Nafanya hivi kwa ajili ya mama mchungaji FP ..........!
 
Last edited by a moderator:

Fixed Point

JF-Expert Member
Sep 30, 2009
11,309
1,225
Napenda kuchukua nafasi hii kuwaalika wana chit chat wote tukutake pale Tabata Ubaya Ubaya Mtambuzi PUB kwa ajili ya kusherehekea siku ya kuzaliwa kwa kijana mwenzetu Slave....

Kamati mbalimbali zitaundwa na hawa wa fuatao: cacico, Mmadame B, na snowhite wataunda kamati ya Kiduku Bishanga, Erickb52, watu8 wataunda kamati ya Vinywaji platozoom, @C6, manoah, Arushaone, na Eiyer wataunda kamati ya Muziki

Halafu Kipipi, charminglady, Ciello, @FP, sweetlady, Nyamayao, Smile, ziinduna, lara 1, na Remmy wataongoza show ya KANGA MOKO.

Nicas Mtei atakuwa kwenye kamati ya usafiri...............

Mamndenyi atakuwa kwenye kamati ya maadili na nidhamu akisaidiwa na AshaDii

NItaendelea kuunda kamati ndogo ndogo kadiri ya majhitaji...

Karibuni
shemu tutake radhi mimi na mtu mzima mwenzangu Nyamayao....
kweli sisi ni wa kucheza kaka moko na akina Ciello na walongo wangu snowhite na Kipipi?
tafadhali
 
Last edited by a moderator:

Fixed Point

JF-Expert Member
Sep 30, 2009
11,309
1,225
Mtambuzi nataka hii birthday itawaliwe na Fanta Orange na Coca Pineapple wale walevi waende bar humu hakuna ushetani tena
Nafanya hivi kwa ajili ya mama mchungaji FP ..........!
Ammeeeen....
na kwa vile mtumishi wa Mungu naye atakuwepo siyo vyema kuwa na pombe, lol!
maana mama mchungaji hawezi kuudhuria hii kitu bila teja lake, lol!
 
sweetlady

JF-Expert Member
Dec 24, 2010
16,959
1,250
Happy birthday mpendwa Slave!

Mungu akujalie afya njema na ayafanye maisha yako kuwa marefu yenye kutawaliwa na furaha, amani na upendo!
 
Last edited by a moderator:

sweetlady

JF-Expert Member
Dec 24, 2010
16,959
1,250
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom