Hii ni list ya wasanii waliotazamwa zaidi nchini Kenya, Mmakonde anazidi kupotea kupotea anga za kimataifa

Kesho ataitisha tena press nakusema kwanini anaishika hiyo nafasi, ukiwekeza kwenye kiki sana madhara yake ndio haya hata kwenye mauzo ya mziki afanyi vizuri ingawa yenye ndio anatoa ngoma nyingi.Shida kuu ya huyu msanii akishatoa ngoma lazima afanye na kiki na bahati mbaya kiki zake zinafunika nyimbo zake
 
Ni kusikilizwa ndani ya muda gani au Ni list ya mwezi wa ngapi ?
 
Naamini vipaji huwa vinaenda vinafifia Basi hata yeye ndo kinafifia hivo japo Ni mapema Sana ukicompare na watangulizi wake Kama Diamond & Alikiba
Huyu mwamba akiacha nyimbo za kumponda Diamond atafika mbali sana.
Sikiliza nyimbo kama Kwa ngaru na Mtaje ipo poa. Ajifunze kwa Diamond na Alikiba
 
Otile na yule mwanadada Jovial jia hatari kabisa. Sema ndo hivyo
Too much copying from western kwa Otile. Muziki wake umekaa kimagharibi sana sometimes hata anachoimba hukisikii. In my opinion this guy is overrated.
 
Too much copying from western kwa Otile. Muziki wake umekaa kimagharibi sana sometimes hata anachoimba hukisikii. In my opinion this guy is overrated.
Mimi napenda nyimbo zake hasa alizoimba na jovial, yule mwanadada hatari sana.
Copying kwa tz ndo mahali pake maana hata mziki wetu haueleweki yunaruka ruka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…