Hii ni list ya wasanii waliotazamwa zaidi nchini Kenya, Mmakonde anazidi kupotea kupotea anga za kimataifa

Huyu mwamba akiacha nyimbo za kumponda Diamond atafika mbali sana.
Sikiliza nyimbo kama Kwa ngaru na Mtaje ipo poa. Ajifunze kwa Diamond na Alikiba
Ajifunze kwa Diamond na Kiba? Kwani huyo Kiba yuko namba ngapi kwenye hiyo orodha mpaka naye awe mfano wa kuigwa ili afanikiwe!
 
hizi namba zenu zingekuwa na maana wasanii wenu wangekuwa na uwezo wa kujaza viwanja vikubwa huko nje.

safari bado,asinyanyuke msanii na kujiona yeye ni mkubwa sana.
 
Kutazamwa sana haimaniishi unafanya vizuri. Ukijirekodi unashikishwa ukuta utavunja rekodi ya hao wasanii.
Inabidi ajifunze kwa Diamond na Alikiba kuimba muziki mzuri. Unaimba Muziki unawaponda wasanii wenzako, nani hiyo shit anataka kusikiliza?
Asipojiangalia huyu jamaa Makonde, tuzo na kwenye matamasha makubwa makubwa watakuwa wanaenda Wasafi, Kiba na wasanii wengine maana atajikuta kila nyimbo anamponda Diamond.
Alikiba na Diamond wanabifu lkn huwezi kukuta hawa wasanii wanaimba nyimbo za kukashifiana.
Ajifunze kwa Diamond na Kiba? Kwani huyo Kiba yuko namba ngapi kwenye hiyo orodha mpaka naye awe mfano wa kuigwa ili afanikiwe!
 
Kutazamwa sana haimaniishi unafanya vizuri. Ukijirekodi unashikishwa ukuta utavunja rekodi ya hao wasanii.
Inabidi ajifunze kwa Diamond na Alikiba kuimba muziki mzuri. Unaimba Muziki unawaponda wasanii wenzako, nani hiyo shit anataka kusikiliza?
Asipojiangalia huyu jamaa Makonde, tuzo na kwenye matamasha makubwa makubwa watakuwa wanaenda Wasafi, Kiba na wasanii wengine maana atajikuta kila nyimbo anamponda Diamond.
Alikiba na Diamond wanabifu lkn huwezi kukuta hawa wasanii wanaimba nyimbo za kukashifiana.
Kweli mkuu..... Hata waimbaji wa taarabu hawafanyi hivo
 
Back
Top Bottom