Hii ni list ya wasanii waliotazamwa zaidi nchini Kenya, Mmakonde anazidi kupotea kupotea anga za kimataifa

Kesho ataitisha tena press nakusema kwanini anaishika hiyo nafasi, ukiwekeza kwenye kiki sana madhara yake ndio haya hata kwenye mauzo ya mziki afanyi vizuri ingawa yenye ndio anatoa ngoma nyingi.Shida kuu ya huyu msanii akishatoa ngoma lazima afanye na kiki na bahati mbaya kiki zake zinafunika nyimbo zake
Harmonize kwa expectation zako baada ya kutoka wasafi ulidhani atapaa zaidi ya alivyokuwa wasafi au uliona ataporopoka?
 
Harmonize kwa expectation zako baada ya kutoka wasafi ulidhani atapaa zaidi ya alivyokuwa wasafi au uliona ataporopoka?
Ukienda Wasafi watakupa jina, mbinu za kufanya vizuri kwenye Mziki n.k so ukitoka Wasafi unakuwa na faida ya hivyo vitu nilivyokutajia kwa upande hasara mashabiki wa diamond na Wasafi utawapoteza but itapata haters wa Wasafi lakini kinachobakia kutoka kwako sio Tena unaanza upya kwasababu jina linabaki pale pale sasa hapo inabaki kwa msanii mwenyewe kujituma zaidi au kulose confidence?

Nikija kwenye swali lako la msingi "Binafsi nilijua atafanya vizuri lakini si kwa kiwango Cha zaidi alichokuwa Wasafi" kwasababu zifuatazo nimesema angefanya vizuri kwa kuangalia Talent yake hakuwa anatungiwa nyimbo hata kama baadhi ya nyimbo anasaidiwa lakini alikuwa anajiweza
Jambo la pili alikuwa kuna vitu teyari kavipata akiwa Wasafi kama sehemu ya msaada wa career yake.

Na kwanini nimesema nilikuwa sifikiri kama atawazidi Wasafi au atafanya better zaidi ya alivyokuwa Wasafi? Harmonize alikuwa anarahisishiwa kila kitu kipindi akiwa Wasafi kuanzia shows, brand activities, connection n.k kuondoka kwake kutamfanya afight kwa nguvu zake binafsi lakini kingine atastruggle upande wa fanbase kwasababu Wasafi wanamtaji mkubwa wa mashabiki kuondoka kwenye mziki utafifia ufanisi especially kwenye eneo la supportive za kazi zake za mziki.
 
Ukienda Wasafi watakupa jina, mbinu za kufanya vizuri kwenye Mziki n.k so ukitoka Wasafi unakuwa na faida ya hivyo vitu nilivyokutajia kwa upande hasara mashabiki wa diamond na Wasafi utawapoteza but itapata haters wa Wasafi lakini kinachobakia kutoka kwako sio Tena unaanza upya kwasababu jina linabaki pale pale sasa hapo inabaki kwa msanii mwenyewe kujituma zaidi au kulose confidence?
Harmonize ni msanii mzuri ila aache tu pang'anga'a, ukiachwa achika
 
Kiba keshapote ila ana diehard fanatics waliokubali kuzama naye mtaroni, hao hawatomuacha kamwe.
Akifanya tukio lolote wanapiga kelele nyingi sana kujaribu kuuaminisha ulimwengu au labda ni kijaribu kujidanganya wenyewe then wanapotea naye wakisubiri japo hata amtunge mtu jina angalau kuwe na justification ya kuwa bado yuko relevant, hata nyimbo zake huwa zina-hit at least wiki ya kwanza toka zinapokuwa released then zinafifia wiki inayofuata and the third week inakuwa kwishnei. Bora mmakonde anakuwa ana-trend kwa vituko na si muziki wake lakini midomoni mwa waja anakuwepo
Mimi sio shabiki wa Kiba kabisa yani,, ila hii albamu yake mpya ina mikwaju mingi mikali inapigwa mtaani hadi tv,radio stations! Hapa namtetea Kiba aisee!
 
Hata mbuyu ulianza kama mchicha, na hao Wapopo kuna nchi wanazoshindwa kufikia mafanikio kama yao katika showbiz industry.
Hizo data/statistics ni muhimu ku motivate wasanii ili wazidi kuongeza bidii.
Nadhani kuna njia za maana za kuwamotivate wasanii wetu japo sipingi yeah na hii ni njia mojawapo lakini nikwambie tu ukweli bongo ilitakiwa iwe imeshavuka huku kushindania views za youtube / kusikilizwa sana Kenya that is my point.
 
Angalia streams na views amepata ngapi the whole November licha ya kutoa album, tumia facts and figures badala ya blah blahs ili uende na uhalisia.
Huu ujinga wa views mtaacha lini nyie,

Sukari ya zuchu ina views 60mil afu essence ya wizkid Ina views 53mil.

Hayo kwa hizo facts zenu ipi nyimbo kubwa hapo?

Overall burna boy kashindwa na diamond kwa views YouTube haya niambie nani msanii mkubwa hapo!
 
Unamchukulia poa sana Mond, wimbo wa sukari ni mkubwa tu au kwakuwa wamerekani hawajaikubali kama essence.
 
Back
Top Bottom