Hii ni kwenu nyie kina dada.

una lako jambo wewe!!umeshakua wimbo wa taifa hii kitu
hiyo ni tabia mbovu na ya uhuni ya wanaume wa dizaini hiyo,naona watu wanataka kuhararisha nyumba ndogo sasa
aya basi ukishaenda iyo nyumba ndogo basi usitafute nyumba ndogo ingine!:yuck: si unakua umeridhika eti mkeo ana kelele?!!
kweli maadili sifuri siku izi
 
.. Ni kweli kabisa wao wanachohitaji ni kupewa starehe tu mambo ya mizinga sio sana.. Nilishawahi kukutana na mmoja kwa kweli ilikuwa kazi sana kuachana nae. Ni hatari pia.....
jamani tabia ya mtu ni mtu mwenyewe hata umfungie chini ya udongo
 
jamani ninyi akina dada mjitaidi kuwa na upendo wa dhati muwajari sana waume zenu.epukeni kuwakwaza.nanyi akina baba ninyi ni kichwa ktk familia basi muwapende wake zenu.zaidi muwahurumie na kuwajari ktk mambo yote.
 
:painkiller:wanawake wanakasumba ya ngoja atanitambua ndio maana wanaume wanaamua kusaka pumziko!!!!!!
 
Mhh!!! hivi kama kweli unampenda mkeo utaendaje kumvulia nguo mwanamke mwingine huoni kama unajidhalilisha mwenyewe???
Hebu jiheshimuni na mbadilike kama mkeo ana mapungufu utamvumilia au kujirekebisha, dawa ya tatizo ni kulirekebisha sio kutafuta kipoozeo:mad2::mad2::mad2::mad2::mad2:
 
Mhh!!! hivi kama kweli unampenda mkeo utaendaje kumvulia nguo mwanamke mwingine huoni kama unajidhalilisha mwenyewe??? Hebu jiheshimuni na mbadilike kama mkeo ana mapungufu utamvumilia au kujirekebisha, dawa ya tatizo ni kulirekebisha sio kutafuta kipoozeo
Mmmmh!!
 
...Hakuna kitu kinachoitwa limbwata nyie watu acheni kudanganyana. Kila siku tunawaambia kuwa nyie wanawake mlioolewa once mkishaingia kwenye ndoa mnajiamini kupita kiasi. Mnadhani mkishaolewa basi kazi imekwisha hamtaki kujishughulisha kuwajali waume zenu. Hivi vitabia vya kujifanya mnataka kuwa sawa na wanaume pia vinawapoteza, eti hutaki kuwa mnyenyekevu kwa mumeo kisa unajiona uko juu kwa kuwa umesoma na una kazi yenye mshahara mzuri so unaweza kushindana na mumeo. Mwanamke unatakiwa kuwa makini muda wote na kuhakikisha kuwa majukumu ya kumuhudumia mumeo yanabaki kuwa yako na si vinginevyo, wengine ndio wanahamishia usaidizi kwa wasichana wa kazi. Kuanzia kufua nguo ( tena mpaka chupi za mume), kupika chakula, kusafisha chumba, kutandika kitanda. Hizo nyumba ndogo zimegundua wanaume wenye ndoa wengi wao huwa frustrated na wake zao so wao wanapiga bao hapo hapo. Nyumba ndogo haoni tabu kumpa busu mwanaume, kumtengenezea chakula kitamu, wengine mpaka wanawaogesha wanaume kama watoto (utaacha kunogewa huko?), ukifika tu unapokewa kwa bashasha na pole kibao. Lazima mwanaume afarijike na ndipo ndoa zinapovurugika. Wito ni kuwa akina mama mlioko kwenye ndoa punguzeni kujiamini na ujeuri usiokuwa na maana. Hata wababa hakikisheni wake zenu mnawaweka karibu ingawa najua wengine mnakwazika na vijimambo vya wake zenu...........
well said Sajenti
 
Ni ujinga tu wa wanaume.We kwanini mtu asiye mkeo akuendeshe,,Wanaume makini kama mimi sidanganyiki na wanawake wa nje ya ndoa..
 
mmmh!!!

mwanaume akitaka kutoka atatoka tu hata ubebe mgongoni kwa mbeleko, mpe kila kitu mpaka vilivyokatazwa.....atatoka.

wapo wanaotoka nje kweli kwa kushindwa kuvumilia mapungufu ya wenza wao
 
WENGINE WANAWAPA MALIMBWATA HAMFURUKUTI..
akili ya kimungu hamuwezi kufanya hayo.....
hakuna limbwata hata siku moja, wanawake inatakiwa wabadilike...tupendeni sisi waume zenu...tupeni haki zetu kama sisi tuwapavyo...tukiomba game ni ugomvi....mara nyingine mnatujibu tumia ukimaliza ifunike...imagine majibu kama hayo...bora nikajipumzishe huko nje ninakopewa mkate na asali yoooooote....aramba!
 
kuna watu nilisikia wakisema wake za watu ni watamu na hawasumbui....ni kweli?
ni kweli kabisa! mke wa mtu mtamu sana tena haringi, anatoa huduma zote hasa kama wewe ni serengeti boy! ila uwe unajua kupiga game mazeee.....hatokuacha ng'o!
 
Kuna sababu nyingi ambazo huweza kumfanya mume kuwa nyumba ndogo ila kubwa ni TAMAA tu.Huo ni ushetani na kutojali ndoa yako. Kama kweili unamcha Mungu huwezi toka nje ya ndoa.
 
hao wa nyumba ndogo mbona nao wakiolewa hutafutiwa nyumba ndogo nyengine?

mwanamme akiamua kutafuta nyumba ndogo huna cha kumfanya.

muhimu wanawake kujitahidi tu lakini akienda nyumba ndogo tusijiuwe kwa stress kuwa ni failure yetu au kujisikia inferior kuliko nyumba ndogo.
 
hakuna limbwata hata siku moja, wanawake inatakiwa wabadilike...tupendeni sisi waume zenu...tupeni haki zetu kama sisi tuwapavyo...tukiomba game ni ugomvi....mara nyingine mnatujibu tumia ukimaliza ifunike...imagine majibu kama hayo...bora nikajipumzishe huko nje ninakopewa mkate na asali yoooooote....aramba!

hapo kwenye Red ndo inakuwaje? yaani utumie bila ya yeye mwenyewe kutoa ushirikiano au?
 
hakuna limbwata hata siku moja, wanawake inatakiwa wabadilike...tupendeni sisi waume zenu...tupeni haki zetu kama sisi tuwapavyo...tukiomba game ni ugomvi....mara nyingine mnatujibu tumia ukimaliza ifunike...imagine majibu kama hayo...bora nikajipumzishe huko nje ninakopewa mkate na asali yoooooote....aramba!

Hatari lakini salama, Mwenyezi Mungu Bariki..
 
WENGINE WANAWAPA MALIMBWATA HAMFURUKUTI..
akili ya kimungu hamuwezi kufanya hayo.....

Si kweli hakuna cha limbwata wala nn akili tu. huko nje wanawatreat kama yai lisijepasuka lisafishwe lipambwe mradi tu mtu ajisikie ni VIP pale. Mengi nayoyasikia kwa wasichana ambao hawajaolewa na wanatunzwa na waume za watu mi naweza sema siyawezi ni uchafu lakini ukweli ndo huo wanafanyiwa.

Nanyie waume mkishaonja basi si mkawaambie wake zenu wayafanye hayo ya huko nyumba ndogo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom