Hii ni kwenu nyie kina dada.

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
4,066
4,085
MI HUWA NAJIULIZA SANA, IWEJE NYUMBA NDOGO IMKAMATE MUMEO WAKATI NAYE NI MWANAMKE MWENZIO?
JE NI KIPI ALICHOKUZIDI?
MBONA HUKO KWA NYUMBA NDOGO MUMEO AMETULIA NA HANA MAHANGAUIKO?
JIULIZE, HUENDA WEWE NI MKALI SANA KWA MUMEO, HUENDA UNAWAKA HASIRA, HUENDA NI MCHAFU, AMA HUMUONYESHI KUMJALI.
FANYA JITIHADA UMRUDISHE KWAKO KUNGALI MAPEMA.
MAANA CHELEWACHELWA UTAKUTA MWANA SI WAKO.:A S clock:
 
WENGINE WANAWAPA MALIMBWATA HAMFURUKUTI..
akili ya kimungu hamuwezi kufanya hayo.....
 
Hayo malimbwata ni hadi kwa tutoto twa shule?
Kuna jamaa amefika kwa katoto ka fomu tuu,
yaani haambiwi wala haoni.
 
kuna watu nilisikia wakisema wake za watu ni watamu na hawasumbui....ni kweli?
 
Hiyo ni nature tu ya binadamu tamaa, na wala sio kwamba wake wanakuwa na kitabia hiyo ni siasa tu. Kila mtu anamatamanio hata kama ameoa vinginevyo ni politics tu.
 
Wafanyeje sasa?
Midume kila kukicha anachoropoka kwenye nyumba zao na kwenda kujikita kwenye nyumba ndogo.
 
Mwanamme mkware hana dawa..akiamua kutoka nje ya ndoa ndo basi tena, si lazima audhiwe huko ndani...
Lakini wakati mwingine kelele za akina mama husababisha shida hii pia~!
 
Mi naomba nikuite baba wa jamii forums.
Daima una mawazo mazuri.
Mungu akuongezee sana hekima.
Ubarikiwe sana .
mwanamme mkware hana dawa..akiamua kutoka nje ya ndoa ndo basi tena, si lazima audhiwe huko ndani...
Lakini wakati mwingine kelele za akina mama husababisha shida hii pia~!
 
mapenzi mapya yana raha yake ila baada ya muda mfupi unazinduka na kusepa
 
MI HUWA NAJIULIZA SANA, IWEJE NYUMBA NDOGO IMKAMATE MUMEO WAKATI NAYE NI MWANAMKE MWENZIO?
JE NI KIPI ALICHOKUZIDI?
MBONA HUKO KWA NYUMBA NDOGO MUMEO AMETULIA NA HANA MAHANGAUIKO?
JIULIZE, HUENDA WEWE NI MKALI SANA KWA MUMEO, HUENDA UNAWAKA HASIRA, HUENDA NI MCHAFU, AMA HUMUONYESHI KUMJALI.
FANYA JITIHADA UMRUDISHE KWAKO KUNGALI MAPEMA.
MAANA CHELEWACHELWA UTAKUTA MWANA SI WAKO.:A S clock:
Kiranja Sikio la kufa halisikii dawa mkuu.
Kuna wanaume wengine hata wake zao wawa'treat vipi hawabadiliki.
 
kuna watu nilisikia wakisema wake za watu ni watamu na hawasumbui....ni kweli?

Hiyo siyo kweli. Labda useme tu kwamba, kwa ujumla kila kitu kinachopatikana pasipo usumbufu na wakati unakitamani sana kinaonekana kitamu sana. Ni suala tu la sirika ya binadamu, kwani hamu ni tamu kuliko tamu yenyewe. Kwa vile mtu anakuwa na tamaa zake, halafu wake za watu wanaaminika kuwa hawasumbui (ukilinganisha na wasichana), na gharama zao ni kama hakuna (tena wengine wanachangia au kulipa bill yote) ndo maana watu wengine wanakuwa na huo mtazamo.

Kwangu mimi, mke wa mtu ni hatari kuliko AK47 au landmine.
 
MI HUWA NAJIULIZA SANA, IWEJE NYUMBA NDOGO IMKAMATE MUMEO WAKATI NAYE NI MWANAMKE MWENZIO?
JE NI KIPI ALICHOKUZIDI?
MBONA HUKO KWA NYUMBA NDOGO MUMEO AMETULIA NA HANA MAHANGAUIKO?
JIULIZE, HUENDA WEWE NI MKALI SANA KWA MUMEO, HUENDA UNAWAKA HASIRA, HUENDA NI MCHAFU, AMA HUMUONYESHI KUMJALI.
FANYA JITIHADA UMRUDISHE KWAKO KUNGALI MAPEMA.
MAANA CHELEWACHELWA UTAKUTA MWANA SI WAKO.:A S clock:

Hamna lolote hapo kwenye nyumba ndogo, maana mbona hata hizo nyumba ndogo huwa zikiolewa zinaachwa,kidume kinaenda kutafuta tena nyumba ndogo si kingekuwa kinamfanzia mume wake manjonjo mpaka hasiende nyumba ndogo.
 
kuna watu nilisikia wakisema wake za watu ni watamu na hawasumbui....ni kweli?
Preta ni watamu kweli, Unajua tena mapenzi ya kuiba na kujifichaficha na pia wahana usumbufu wa kukuomba hela kubwakubwa kwani atasema kwa mumewe amevipata wapi? Plz usijaribu kwani mwanaume utakayempa atakayakufanyia kumuacha sio rahisi. Stay Pleased
 
WENGINE WANAWAPA MALIMBWATA HAMFURUKUTI..
akili ya kimungu hamuwezi kufanya hayo.....
...Hakuna kitu kinachoitwa limbwata nyie watu acheni kudanganyana. Kila siku tunawaambia kuwa nyie wanawake mlioolewa once mkishaingia kwenye ndoa mnajiamini kupita kiasi. Mnadhani mkishaolewa basi kazi imekwisha hamtaki kujishughulisha kuwajali waume zenu. Hivi vitabia vya kujifanya mnataka kuwa sawa na wanaume pia vinawapoteza, eti hutaki kuwa mnyenyekevu kwa mumeo kisa unajiona uko juu kwa kuwa umesoma na una kazi yenye mshahara mzuri so unaweza kushindana na mumeo. Mwanamke unatakiwa kuwa makini muda wote na kuhakikisha kuwa majukumu ya kumuhudumia mumeo yanabaki kuwa yako na si vinginevyo, wengine ndio wanahamishia usaidizi kwa wasichana wa kazi. Kuanzia kufua nguo ( tena mpaka chupi za mume), kupika chakula, kusafisha chumba, kutandika kitanda. Hizo nyumba ndogo zimegundua wanaume wenye ndoa wengi wao huwa frustrated na wake zao so wao wanapiga bao hapo hapo. Nyumba ndogo haoni tabu kumpa busu mwanaume, kumtengenezea chakula kitamu, wengine mpaka wanawaogesha wanaume kama watoto (utaacha kunogewa huko?), ukifika tu unapokewa kwa bashasha na pole kibao. Lazima mwanaume afarijike na ndipo ndoa zinapovurugika. Wito ni kuwa akina mama mlioko kwenye ndoa punguzeni kujiamini na ujeuri usiokuwa na maana. Hata wababa hakikisheni wake zenu mnawaweka karibu ingawa najua wengine mnakwazika na vijimambo vya wake zenu...........
 
kuna watu nilisikia wakisema wake za watu ni watamu na hawasumbui....ni kweli?
.. Ni kweli kabisa wao wanachohitaji ni kupewa starehe tu mambo ya mizinga sio sana.. Nilishawahi kukutana na mmoja kwa kweli ilikuwa kazi sana kuachana nae. Ni hatari pia.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom