Dena unaposema hauzungumzii wivu utakuwa kidogo unakosea kwasababu kwa hali jinsi ulivyoelezea inaonekana ni wivu kabisa haiwezekani from no where haupendi tu automatically kama sio wivu in one way or another kutakuwa kuna wivu ndani yake.Nimejikuta najiuliza maswali mpaka nikafika mahala hapa.
Kwanini mtu wa karibu mume/mke/msichana/mvulana anapofanya mawasiliano (simu, sms, kuja kusalimu home, kusalimiana barabarani nk) na mtu mwingine (ambaye si ndugu yako) wa jinsia tofauti na yake "Roho inauma sana" hata kama hawajafanya kitu wala hawana wazo hilo??? Sizungumzii wivu lakini unajikuta tu hupendi automatically kwa kipindi hicho baada ya muda inatoweka................
Nikajikuta nafikia kusema labda kwa sababu hilo tunda mlilokwisha kula wewe na yeye lilishawishiwaiwa kuliwa na na adui mkubwa wa binadamu "Nyoka"??? Hapa nazungumzia wazee wetu wa mwanzo Adam na Eva (kwa mujibu wa vitabu vya dini) walishawishiwa na nyoka kula tunda ndo maana unajikuta na wewe hutaki wala hupendi mtu mwingine nae ale hilo tunda ambalo wewe umeshadanyika na kulilla??
Hali hii inawatokea wenzangu na nyie??
Najifikiria tu kwa hili.
Asubuhi njema mbarikiwe sana
kafanya nini Dena?Dena Bwana. :A S 100::A S 100::A S 100:
Dena Bwana. :A S 100::A S 100::A S 100:
Dena unaposema hauzungumzii wivu utakuwa kidogo unakosea kwasababu kwa hali jinsi ulivyoelezea inaonekana ni wivu kabisa haiwezekani from no where haupendi tu automatically kama sio wivu in one way or another kutakuwa kuna wivu ndani yake.
yale yaleeeeeeeeee, Wivu sina ila roho inauma..........,allllaaaaaaa,kubali tu Dena hako ni kaugonjwa ka wivu na unatakiwa ukakabili shem vinginevyo kutwa kucha utakuwa miserable maana there is no way unaweza kumzuia binadamu mwenzio,tena mmekutana ukubwani asisalimie au kuwasiliana kwa namna yoyote na binadamu wa jinsia nyingine.Hapa busara muhimu itumike mpenzi vinginevyo utatuacha wakiwa siku si zako.Asubuhi njema.Nimejikuta najiuliza maswali mpaka nikafika mahala hapa.
Kwanini mtu wa karibu mume/mke/msichana/mvulana anapofanya mawasiliano (simu, sms, kuja kusalimu home, kusalimiana barabarani nk) na mtu mwingine (ambaye si ndugu yako) wa jinsia tofauti na yake "Roho inauma sana" hata kama hawajafanya kitu wala hawana wazo hilo??? Sizungumzii wivu lakini unajikuta tu hupendi automatically kwa kipindi hicho baada ya muda inatoweka................
Nikajikuta nafikia kusema labda kwa sababu hilo tunda mlilokwisha kula wewe na yeye lilishawishiwaiwa kuliwa na na adui mkubwa wa binadamu "Nyoka"??? Hapa nazungumzia wazee wetu wa mwanzo Adam na Eva (kwa mujibu wa vitabu vya dini) walishawishiwa na nyoka kula tunda ndo maana unajikuta na wewe hutaki wala hupendi mtu mwingine nae ale hilo tunda ambalo wewe umeshadanyika na kulilla??
Hali hii inawatokea wenzangu na nyie??
Najifikiria tu kwa hili.
Asubuhi njema mbarikiwe sana
we Rose wewe!hod ya choon inaitikiwaje babu?
Nimejikuta najiuliza maswali mpaka nikafika mahala hapa.
Kwanini mtu wa karibu mume/mke/msichana/mvulana anapofanya mawasiliano (simu, sms, kuja kusalimu home, kusalimiana barabarani nk) na mtu mwingine (ambaye si ndugu yako) wa jinsia tofauti na yake "Roho inauma sana" hata kama hawajafanya kitu wala hawana wazo hilo??? Sizungumzii wivu lakini unajikuta tu hupendi automatically kwa kipindi hicho baada ya muda inatoweka................
Nikajikuta nafikia kusema labda kwa sababu hilo tunda mlilokwisha kula wewe na yeye lilishawishiwaiwa kuliwa na na adui mkubwa wa binadamu "Nyoka"??? Hapa nazungumzia wazee wetu wa mwanzo Adam na Eva (kwa mujibu wa vitabu vya dini) walishawishiwa na nyoka kula tunda ndo maana unajikuta na wewe hutaki wala hupendi mtu mwingine nae ale hilo tunda ambalo wewe umeshadanyika na kulilla??
Hali hii inawatokea wenzangu na nyie??
Najifikiria tu kwa hili.
Asubuhi njema mbarikiwe sana
Kama sio wivu ni nini sasa???Nimesema sizungumzii wivu right???
Wivu wa namna hiyo hata mimi ninao. Yaani hata utani utani tu wa eti mume wa dada yake amwite girlfriend wangu wangu ''wife au darling'' kwa utani roho inaniuma, ila huwa najikaza kisabuni tu.
Nimesema sizungumzii wivu right???
yale yaleeeeeeeeee, Wivu sina ila roho inauma..........,allllaaaaaaa,kubali tu Dena hako ni kaugonjwa ka wivu na unatakiwa ukakabili shem vinginevyo kutwa kucha utakuwa miserable maana there is no way unaweza kumzuia binadamu mwenzio,tena mmekutana ukubwani asisalimie au kuwasiliana kwa namna yoyote na binadamu wa jinsia nyingine.Hapa busara muhimu itumike mpenzi vinginevyo utatuacha wakiwa siku si zako.Asubuhi njema.
Habari yake WIVU banaaaWivu huna ila roho inauma siamini.No! ndio wivu wenyewe
hod ya choon inaitikiwaje babu?
hod ya choon inaitikiwaje babu?