Dena Amsi
R I P
- Aug 17, 2010
- 13,082
- 4,260
Nimejikuta najiuliza maswali mpaka nikafika mahala hapa.
Kwanini mtu wa karibu mume/mke/msichana/mvulana anapofanya mawasiliano (simu, sms, kuja kusalimu home, kusalimiana barabarani nk) na mtu mwingine (ambaye si ndugu yako) wa jinsia tofauti na yake "Roho inauma sana" hata kama hawajafanya kitu wala hawana wazo hilo??? Sizungumzii wivu lakini unajikuta tu hupendi automatically kwa kipindi hicho baada ya muda inatoweka................
Nikajikuta nafikia kusema labda kwa sababu hilo tunda mlilokwisha kula wewe na yeye lilishawishiwaiwa kuliwa na na adui mkubwa wa binadamu "Nyoka"??? Hapa nazungumzia wazee wetu wa mwanzo Adam na Eva (kwa mujibu wa vitabu vya dini) walishawishiwa na nyoka kula tunda ndo maana unajikuta na wewe hutaki wala hupendi mtu mwingine nae ale hilo tunda ambalo wewe umeshadanyika na kulilla??
Hali hii inawatokea wenzangu na nyie??
Najifikiria tu kwa hili.
Asubuhi njema mbarikiwe sana