Juliana Shonza
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 2,009
- 1,607
Ikiwa ni jumapili tulivu yenye rasha rasha ya mvua za hapa na pale katika jiji kubwa la Dar es salaam, Dada yenu nikiwa nimebarizi katika nyumba ya wazazi wangu baada ya kuhudhuria ibada muhimu ya leo na baada ya uchovu wa kushiriki kwa vifijo na nderemo harusi ya rafiki yangu kipenzi Habib Mchange pale Diamond Jubilee jana usiku. Nimejiwa na wazo.,wazo la Amani na haki. WAZO la kimaendeleo, nami nikasema ni vema vijana wenzangu wakafahamu wazo hili na wakalijadili.
Lakini nitoe tanbihi kuwa wazo hili haliwahusu Bavicha kwa namna yeyote ile kwa maana wao si wapenda amani wala si wapenda maendeleo. Ni vijana wasiojitambue wanaoutumika bila kujua hatma yao. Wanashiriki matumizi ya mihadarat na vinywaji vikali (mods tafadhali nina ushahidi wa majina na picha,mnitendee haki)
Wazo lenyewe ni juu ya rasilimali za nchi na manufaa yake kwa jamii yetu. TANZANIA ni nchi yenye kufahamika kwa rasilimali nyingi na kubwa.
maendeleo ya nchi hii kutokana na rasilimali hizi zinategemea kwa kiasi kikubwa uwezo, ari na maarifa ya wasimamizi wa husika hapa namaanisha viongozi.
Viongozi hawa wa sasa wamesaidia katika kuset njia ya namna ya kurina rasilimali hizo na sisi tunategemea kuwa viongozi wa baadae wa kuzisimamia na kuziendeleza rasilimali hizi, na kwa maana ya wasiwasi wangu juu ya namna vijana tulionao leo, je ni aina ya vijana ambao wanaweza kukabidhiwa nyadhifa na kizitendea haki. Vijana ambao wakiambiwa nyuma geuka wanageuka kama mazombi ambao hawafikiri wahawajiulizi mara mbili.
Nimewatoa bavicha kwani wao ni vijana ambao wamejitoa sadaka kuwa hawana chochote cha kupoteza katika nchi hii. Wameshajitoa muhanga kuwa wao ni wa mtu na hivyo maisha yao na future yao inategemea mtu huyo. Ni watu ambao wameukumbatia ujinga na kuwadharau werevu. Wao ni wafuasi wa wale waliopotea. Hawafuati isipokuwa upotevu.
Vijana tujadili wazo hili la namna ya kuzisimamia rasilimali zetu katika kipindi cha uongozi wetu na kizazi chetu na kile kijacho.