Hii ni kwa wapenda amani na maendeleo tu. Bavicha hawahusiki.

Status
Not open for further replies.

Juliana Shonza

JF-Expert Member
Dec 19, 2012
2,009
1,607
Ikiwa ni jumapili tulivu yenye rasha rasha ya mvua za hapa na pale katika jiji kubwa la Dar es salaam, Dada yenu nikiwa nimebarizi katika nyumba ya wazazi wangu baada ya kuhudhuria ibada muhimu ya leo na baada ya uchovu wa kushiriki kwa vifijo na nderemo harusi ya rafiki yangu kipenzi Habib Mchange pale Diamond Jubilee jana usiku. Nimejiwa na wazo.,wazo la Amani na haki. WAZO la kimaendeleo, nami nikasema ni vema vijana wenzangu wakafahamu wazo hili na wakalijadili.
Lakini nitoe tanbihi kuwa wazo hili haliwahusu Bavicha kwa namna yeyote ile kwa maana wao si wapenda amani wala si wapenda maendeleo. Ni vijana wasiojitambue wanaoutumika bila kujua hatma yao. Wanashiriki matumizi ya mihadarat na vinywaji vikali (mods tafadhali nina ushahidi wa majina na picha,mnitendee haki)

Wazo lenyewe ni juu ya rasilimali za nchi na manufaa yake kwa jamii yetu. TANZANIA ni nchi yenye kufahamika kwa rasilimali nyingi na kubwa.

maendeleo ya nchi hii kutokana na rasilimali hizi zinategemea kwa kiasi kikubwa uwezo, ari na maarifa ya wasimamizi wa husika hapa namaanisha viongozi.

Viongozi hawa wa sasa wamesaidia katika kuset njia ya namna ya kurina rasilimali hizo na sisi tunategemea kuwa viongozi wa baadae wa kuzisimamia na kuziendeleza rasilimali hizi, na kwa maana ya wasiwasi wangu juu ya namna vijana tulionao leo, je ni aina ya vijana ambao wanaweza kukabidhiwa nyadhifa na kizitendea haki. Vijana ambao wakiambiwa nyuma geuka wanageuka kama mazombi ambao hawafikiri wahawajiulizi mara mbili.

Nimewatoa bavicha kwani wao ni vijana ambao wamejitoa sadaka kuwa hawana chochote cha kupoteza katika nchi hii. Wameshajitoa muhanga kuwa wao ni wa mtu na hivyo maisha yao na future yao inategemea mtu huyo. Ni watu ambao wameukumbatia ujinga na kuwadharau werevu. Wao ni wafuasi wa wale waliopotea. Hawafuati isipokuwa upotevu.

Vijana tujadili wazo hili la namna ya kuzisimamia rasilimali zetu katika kipindi cha uongozi wetu na kizazi chetu na kile kijacho.
 
My dear friend my advise to you is simple "don't change your mind just because people are offended,but rather do so when you're wrong!!!!!"
GUD DAY
 
Nimejitahidi sana kusoma tena na tena kuona kama kweli kuna wazo jipya linalihusu rasilimali sijaliona. Zaidi naona dalili za mtu anasumbuliwa na hang over...
 
Muhimu vijana kujituma na kukataa ujumbe ndio, ubunifu na maarifa ni muhimu sana.Tusisubiri kuwekewa pesa mifukoni lazima tuchakarike,na tuache kubebwa tusimame wenyewe,tukifanya hivyo vijana hatuwezi kutumika kama condom.
 
HAhahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,hahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,hahahahahahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,du kweli you have made my days guys,naenda kupuumzika sasa nisubiri mechi ya arsenal na everton
 
Unaenda kanisani kumdhihaki Mungu jana umefanya usodoma leo unaamkia kanisani shame on u tena ukileta mambo ---- tutakutundika hadharani

Mkuu acha kumdhihaki Mungu... wewe unadhani mtu aliyejawa na hang overs kama huyu anaweza kuwa ametoka kanisani!!!
 
Dada yangu we tulia tu hawa jamaa tuachie sisi ndio tunawaweza.

Ngoja nipate kitu moja moto moja baridi aafu ntarudi.
 
Ikiwa ni jumapili tulivu yenye rasha rasha ya mvua za hapa na pale katika jiji kubwa la Dar es salaam, Dada yenu nikiwa nimebarizi katika nyumba ya wazazi wangu baada ya kuhudhuria ibada muhimu ya leo na baada ya uchovu wa kushiriki kwa vifijo na nderemo harusi ya rafiki yangu kipenzi Habib Mchange pale Diamond Jubilee jana usiku. Nimejiwa na wazo.,wazo la Amani na haki. WAZO la kimaendeleo, nami nikasema ni vema vijana wenzangu wakafahamu wazo hili na wakalijadili.
Lakini nitoe tanbihi kuwa wazo hili haliwahusu Bavicha kwa namna yeyote ile kwa maana wao si wapenda amani wala si wapenda maendeleo. Ni vijana wasiojitambue wanaoutumika bila kujua hatma yao. Wanashiriki matumizi ya mihadarat na vinywaji vikali (mods tafadhali nina ushahidi wa majina na picha,mnitendee haki)

Wazo lenyewe ni juu ya rasilimali za nchi na manufaa yake kwa jamii yetu. TANZANIA ni nchi yenye kufahamika kwa rasilimali nyingi na kubwa.

maendeleo ya nchi hii kutokana na rasilimali hizi zinategemea kwa kiasi kikubwa uwezo, ari na maarifa ya wasimamizi wa husika hapa namaanisha viongozi.

Viongozi hawa wa sasa wamesaidia katika kuset njia ya namna ya kurina rasilimali hizo na sisi tunategemea kuwa viongozi wa baadae wa kuzisimamia na kuziendeleza rasilimali hizi, na kwa maana ya wasiwasi wangu juu ya namna vijana tulionao leo, je ni aina ya vijana ambao wanaweza kukabidhiwa nyadhifa na kizitendea haki. Vijana ambao wakiambiwa nyuma geuka wanageuka kama mazombi ambao hawafikiri wahawajiulizi mara mbili.

Nimewatoa bavicha kwani wao ni vijana ambao wamejitoa sadaka kuwa hawana chochote cha kupoteza katika nchi hii. Wameshajitoa muhanga kuwa wao ni wa mtu na hivyo maisha yao na future yao inategemea mtu huyo. Ni watu ambao wameukumbatia ujinga na kuwadharau werevu. Wao ni wafuasi wa wale waliopotea. Hawafuati isipokuwa upotevu.

Vijana tujadili wazo hili la namna ya kuzisimamia rasilimali zetu katika kipindi cha uongozi wetu na kizazi chetu na kile kijacho.

Tupe basi hilo wazo tunalisubiria vijana, ili maendeleo yaanze sasa ukizingatia ni ARI MPYA,KASI MPYA na NGUVU MPYA bila kusahau BIG RESULTS NOW, TUMEJARIBU TUMEWEZA NA TUNASONGA MBELE, na mengineyo mengi.

Waiting..................................................
 
Huu Mtindi lazima Unyonyeshe Ka Sikonge Jr. Chezea Mnyamwezi wa SIKONGE wewe?

Mtani wangu, Kawawa alisema "Uchumi na Rasilimali, umeukalia....."

Mchange%252520na%252520wenzie_thumb%25255B5%25255D.jpg
 
Garbage!
You have destroyed my lovely Sunday
Are you among the Tanzania youth!
Oh! I thought you have married with Nchemba, gosh
 
halafu wee buchanan kama unaona huyo shonza anajibiwa vibaya, embu soma thread yake, umeona kashfa anayotoa kwa taasisi ya bavicha ilihali yeye alikuwa makamu mwenyekiti? toeni basi utumbo wake, la sivyo tunavyomtukana na kichupi chake kinachonuka msifute post zetu, matusi hutibiwa kwa matusi,
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom