Huyu alisema kabakwa na lema mwaka jana nazaniJina tafadhali- mods please kumbukeni kuwa jf-where we dare to talk openly so msimpe ban jamaa bali afafanue!!
Huyu alisema kabakwa na lema mwaka jana nazani
Hapo dogo nimekusoma na BAVICHA wamekupata vizuri.Lengo lako hapa inaonekana si vijana kujadili kuhusu rasilimali zetu wala nini,ulilenga kuwachana BAVICHA.Mmmmh.
eti huyu alikuwa makamu mwenyekiti bavicha, chadema must be serious.
La msingi hapa ni ndoa ya habibu? wewe unaolewa lini? na mtindi huo...
samahani sikonge, namuambia huyo kwenye picha.
Uligusia suala la amani hapa au mimi nina makengeza katika usomaji? maana kama ni jawabu ni ndio itabidi utulie mapaka mning'nio uishe i sugest upate sprite baridiASAP!Ikiwa ni jumapili tulivu yenye rasha rasha ya mvua za hapa na pale katika jiji kubwa la Dar es salaam, Dada yenu nikiwa nimebarizi katika nyumba ya wazazi wangu baada ya kuhudhuria ibada muhimu ya leo na baada ya uchovu wa kushiriki kwa vifijo na nderemo harusi ya rafiki yangu kipenzi Habib Mchange pale Diamond Jubilee jana usiku. Nimejiwa na wazo.,wazo la Amani na haki. WAZO la kimaendeleo, nami nikasema ni vema vijana wenzangu wakafahamu wazo hili na wakalijadili.
Lakini nitoe tanbihi kuwa wazo hili haliwahusu Bavicha kwa namna yeyote ile kwa maana wao si wapenda amani wala si wapenda maendeleo. Ni vijana wasiojitambue wanaoutumika bila kujua hatma yao. Wanashiriki matumizi ya mihadarat na vinywaji vikali (mods tafadhali nina ushahidi wa majina na picha,mnitendee haki)
Wazo lenyewe ni juu ya rasilimali za nchi na manufaa yake kwa jamii yetu. TANZANIA ni nchi yenye kufahamika kwa rasilimali nyingi na kubwa.
maendeleo ya nchi hii kutokana na rasilimali hizi zinategemea kwa kiasi kikubwa uwezo, ari na maarifa ya wasimamizi wa husika hapa namaanisha viongozi.
Viongozi hawa wa sasa wamesaidia katika kuset njia ya namna ya kurina rasilimali hizo na sisi tunategemea kuwa viongozi wa baadae wa kuzisimamia na kuziendeleza rasilimali hizi, na kwa maana ya wasiwasi wangu juu ya namna vijana tulionao leo, je ni aina ya vijana ambao wanaweza kukabidhiwa nyadhifa na kizitendea haki. Vijana ambao wakiambiwa nyuma geuka wanageuka kama mazombi ambao hawafikiri wahawajiulizi mara mbili.
Nimewatoa bavicha kwani wao ni vijana ambao wamejitoa sadaka kuwa hawana chochote cha kupoteza katika nchi hii. Wameshajitoa muhanga kuwa wao ni wa mtu na hivyo maisha yao na future yao inategemea mtu huyo. Ni watu ambao wameukumbatia ujinga na kuwadharau werevu. Wao ni wafuasi wa wale waliopotea. Hawafuati isipokuwa upotevu.
Vijana tujadili wazo hili la namna ya kuzisimamia rasilimali zetu katika kipindi cha uongozi wetu na kizazi chetu na kile kijacho.
Ritz anamtaka anazuga hapa kumbe anatafuta huruma,mzee wa beki3..Sio Kejeri
nazingatia umri wake na umuhimu wa swala zima la ndoa, kujifanya kukaa kimya haisaidii kitu, wanawake umri ukienda na hawajaolewa inawasababishia matatizo ya usongo wa mawazo, sio kwake tu, niko concerned hata kwa ndugu zangu wa karibu pia.
swala la kuzungumzia mtindi wake nalo lina husika.
Muislamu kama wewe unataka kutetea Mwanamke anayeweka matiti yake wazi? au Itikadi za kisiasa zimeanza kuzidi maelekezo ya Mtume.