Hii ni kwa ajili ndugu Paul Christian Makonda aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa - DSM

Tatizo anatuuma nyingi chafu kama upo nae karibu mwambie basi majira yanabadilika
 
Amina.
Umempa ushauri mzuri sana
 
MJUMBE NI KAMA HOJA YAKO IMEJIKITA KUJADILI MTU!

Nawaza kwa sauti, samahani ndio naamka muda huu...
 
Aisee mtu mzima kuwa muongo haipendezi kabisa.
 
Duh mambo yanabadilika kwa kasi sana.
 
Kama alipita kote huko ni sawa tu.

The point here ni kwamba, it's time to take responsibility. Akubali kuwa alikosea na kuumiza watu wengine bure. Kisha aombe msamaha kwa watu aliowakosea na kuwaumiza in one way or another na kisha atubu kwa Mungu ili maisha yaendelee.

Ni bahati mbaya sana kwake ukisoma maandishi yake, inaonesha kuwa bado anasumbuliwa na kiburi. Na mtu mwenye kiburi daima hujihesabia haki..

Ajihesabiaye haki huwa hayaoni makosa yake. Huwa haoni udhaifu wake. Hicho ndicho kinachoitwa KIBURI..

MUNGU wetu ni wa neema sana. Ndugu yetu bado anayo fursa ya kutengeneza na kuyaishi maisha ya baraka. Bahati mbaya tu ni kuwa mambo ya dunia hii [madaraka, pesa, sifa za kijinga toka kwa wanadamu, umaarufu ni] yamenajisi akili na ufahamu wake..
 

Absolutely, Yes..

Ni funzo kwetu sote ya namna bora ya kuishi na kupendana sisi kwa sisi..

Mungu hapendi mtu mwingine amuumize ndugu yake [binadamu sote ni ndugu, baba yetu ni mmoja tu - Mungu muumba wa mbingu na nchi]..

Ukiumiza ndugu yako, Mungu mwenyewe alishatamka adhabu na hukumu yake hapa hapa duniani..
 
 
Atarudisha damu za aliyomwaga?
Yeye kama Makonda, hawezi iwapo aliua kweli. Lakini Mungu ni wa neema kwetu sote. Tukinyenyekea kwake na kuomba msamaha na kujutia makosa yetu, yeye humsamehe tu maana anasema, dhambi zetu zinapokuwa kubwa na mbaya kiasi cha kuleta chukizo mbele za binadamu, yeye atazigeuza kubwa baraka kubwa..!
Ushauri wako ni mzuri kwake. Sote tunajua kuwa mwenye kutoa hukumu ya haki ni Mungu pekee. Paul yampasa atubu ili abaki mwepesi mbele ya Mungu.

YES, that's is the only way out kwa sasa. Usaidizi wa wanadamu umeshafikia ukomo wake. Msaada pekee kwa sasa ni kwa Mungu Mkuu kupitia mwanae mpendwa, Bwana na mwokozi wa ulimwengu huu yaani - YESU KRISTO..
Ila kwa hapa duniani yampasa akutane na adhabu kali ili iwe fundisho kwa viongozi wengine na namna hiyo. Tunajua wazi kuwa alishiriki kuuwa vijana wasio na hatia, waliotegemewa, na waliokuwa na maono mbele yao
Ni kweli kabisa. Mungu husamehe dhambi na kuondoa hukumu itokanayo na dhambi hizo. Lakini matokeo ama majereha ama makovu yaliyosababishwa na dhambi hizo huendelea kupona taratibu na mwisho na yenyewe kwa neema ya Mungu, hutoweka..

Mtume Paulo wakati huo akiitwa Sauli [kwenye biblia] alikuwa muuaji na mtukanaji mbaya sana. Lakini kwa neema ya Mungu aliokolewa na kufanyika baraka hadi leo kwa kila mmoja wetu..

NEEMA YA MUNGU IPO NA INATOSHA KWA KILA MTU. TUIENDEE HIYO .
 
Mjeuri huyu bado anaenda mitandaoni kujisifu muuwaji Mkubwa, mwabudu shetani, anapenda kiki, anatujaribu kuona tutaongeaje mshenzi, funga domo utulie, yote yako yanajulikana, uchafu wote upo wazi, mnatumia vibaya ofisi umma, ulikuwa unatisha hadi mawaziri eti Nitakusemea kwa baba kama hutaki kuachia makontena yangu, who are you? Haya kawa makamu wa rais Sasa..isdory yule mnyenyekevu na mtii, mwenye elimu. Wewe hujastaarabika, elimu za kufojifoji, mtundu wa kujikomba na ujanja mwingi huko tayari kwa lolote ili ujinufaishe binafsi mshenzi wewe, ukapambana kinafiki na madawa ya kulevya ili hiyo biashara uimiliki mwenyewe, dar ndio likawa ndio LANGO LA KUINGILIA DRUGS TO NCHI ZA KUSINI(USA wrote it) baada ya wewe kujiingiza humo, ulionekana Mara kadhaa South Africa na one of biggest dealer huko South Africa. Halafu all over sudden ukaanza kumiliki migari majumba ya kifahari na kusema wewe ndio namba moja unayekula Raha hapa duniani, wewe?
 
Duuh, Haji Manara ana hasira sana. Na kwa kweli kama alitendewa vibaya ni haki yake kuwa na ghadhabu..

Haya maneno ndiyo yanayokwenda mbele ya kiti cha enzi cha Mungu, yanamshtaki Paul Makonda. In return yanabeba adhabu na hukumu kumjia mshitakiwa..

Kama hatachukua hatua ya kumweka wakili mwaminifu Yesu Kristo amtetee hakika Paul Makonda atakufa..!
 
Duuh, una hasira sana ndugu..

Pole, lakini Makonda bado ni binadamu. Tumwombee Neema ya Mungu imtembelee, aone makosa yake...
 
Makubwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…