Hii Ni Kali Jamani Ameuendea Mpira wa Golf kwenye maji amerudi bila ya mkono

jamaa wataalum kweli
wamempasua mamba na kutoa mkono..
dahhhh

Hapa kwetu utaambiwa
"Hata mamba anahitaji kula"
Ingelikuwa hapa kwetu Watu wangelisema karogwa huyo mwanamke kwanini kaenda kwenye maji kuchukua mpira wa golf? Kungelikuwa na imani mbaya za Kiuchawi WaTanganyika bado tupo nyuma kwa kila kitu eeeh Muumba wa mbingu na vilivyomo Ardhini tusaidie ili na nchi yetu iwe na maendeleo kama wenzetu walivyokuwa na Maendeleo Ameen.
 
iliwah toka pale sigara/tcc kuna mzungu alikatwa kidole na mashine, akakichukua akakiweka kwenye chupa ya maji yenye hewa ie oxgen, wakamsafirisha mpaka SA, alirudi kidole kimerudishiwa na akaendelea kupiga kazi. Sasa siku moja mswahili akapata ajali, hata nairobi alipelekwa kwa mbinde! Ilikuwa vuta nikuvute!
 
Big up 'mzizimkavu' napenda picha unazopost..huwa ninazidownload! <img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/smile.png" border="0" alt="" title="Smile" smilieid="307" class="inlineimg" />
 
Ni kweli ingelikuwa hapo kwetu bongo basi angeli usahau mkono wake, kwa uzembe wetu sisi Wa Tanzania...................
si kwa uzembe...jiografia pia. inaonekana huyo mamba ni wa kufugwa. Hata jamaa alikuwa mjinga unawezaje kuingia kwenye bwawa lililofugwa mamba?
 
Huyo alikuwa zoba kweli, kwani mtu unapokwenda kucheza golf unakuwa na mipira mingapi? Hata ukienda kwenye golf range unapewa mipira zaidi hata ya 10. Urugumya mbaya sana.
 
iliwah toka pale sigara/tcc kuna mzungu alikatwa kidole na mashine, akakichukua akakiweka kwenye chupa ya maji yenye hewa ie oxgen, wakamsafirisha mpaka SA, alirudi kidole kimerudishiwa na akaendelea kupiga kazi. Sasa siku moja mswahili akapata ajali, hata nairobi alipelekwa kwa mbinde! Ilikuwa vuta nikuvute!

Bongo wangeunda tume ya uchunguzi kwanza, kisha itoe mapendekezo baada ya wiki mbili. Posho za tume zingelipwa kama kawa!
 
Ni kweli ingelikuwa hapo kwetu bongo basi angeli usahau mkono wake, kwa uzembe wetu sisi Wa Tanzania...................
<br />
<br />
ndio mkono umepatikana... what next? mi naona hawakumtendea haki maskini mamba, kmk ndio maisha yake... wanyama wote sawa. kwa style hii kila kiumbe kipasuliwe. mi wa kwanza kurudisha mbafu za mbuzi
 
Huyu alikuwa hachezi GOLF Bali ni dokta wa mifugo alikuwa anafanya majaribio ndo dhahama ikamkuta lazima tujue kuna ajali kazini.
 
pamoja na kuwa mkono umepatikana naamini hauwezi rudishwa kama mwanzo yechnologia hiyo haipo
 
Mimi nilichoona na kujifunza hapa ni Ambulance, yaani wako full equiped and on time, rena ndege, sisi tunanunua bajaj eti ndio ambulance.....
 
Back
Top Bottom