Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,084
- 3,726
Hili tukio la mtoto mdogo kuchagua Simba sc baada ya kuwekewa nembo ya Simba na yanga, kisha akachagua Simba sc ni ishara yakwamba Simba sc ndio timu teule kutoka kwa Mungu kuiwakilisha Tanzania, Afrika mashariki na kati,na Afrika kwa ujumla Duniani kote kama Timu bora ya nyakati zote.
Pia kitendo cha Chasambi kukataa mshahara wa millioni 6 Yanga na kukubali mshahara wa millioni 2 Simba, tafsiri yake au sababu ya msingi ni kwamba Chasambi ameangaalia ukubwa wa Simba sc na Yanga, akaona ni bora achezee timu kubwa na bora Tanzania,afrika mashariki na kati na timu inayojiandaa kucheza kombe la Dunia la vilabu kwa sh.milioni 2 ili apate exposure Duniani.
Ni ukweli usiofichika na usioweza kufichika ya kwamba Simba sc ndio mfalme na Baba wa football kwa ubora namba moja Tanzania,Afrika mashabiki na kati kwa kipindi kilichopita,kwa sasa na kwa nyakati zote.
Pia nilichokiona washabiki wengi wa Simba sc hawapendi malumbano sana ila wanaongea kwa vitendo kama timu yao ilivyo..mfano kupewa taji la washabiki bora Afrika.