Hatuhitaji kukurekebisha sana ni kukujulisha kwamba, tumenyanyaswa kwa muda mrefu na CCM , tumedhalilishwa sana na CCM, tumeibiwa sana na CCM, tumefungwa sana na CCM na sasa tumepata mkombozi wa kutpeleka nchi ya ahadi TANGANYIKA. CDM ndiyo musa wetu wa kuttoa Misri na kutupeleka Nchi ya ahadi yenye Madini na ardhi yenye rutuba , nchi yenye mbuga za wanyama wa kila aina na nchi ya watu wakalimu.
Nimekuwa nafatilia post nyingi, na pia nimejaribu kuzungumza na watu kadhaa wanaonizunguka, kuanzia ofisini mpaka mtaani.
Nilichojifunza ni kwamba, unapojaribu kukikosoa Chadema unaonekana kama umetenda dhambi.
Unapojaribu kumkosoa Mbowe, Slaa n.k unaonekana we si mzalendo wa nchi hii. Inaonekana kama wazalendo wote wanakisifia Chadema.
Chadema kama chama kinaongozwa na binadamu kama wa ccm. Wanamapungufu yao pia kama waliyonayo ccm.
Kama unaogopa kukosolewa na kurekebishwa kamwe hautojifunza.
Chadema tubadilike, tukubali kurekebishwa.
"when think alike, no one is thinking"
NB. Nipo tayari kurekebishwa.

ina tegemea unakosoa nini, wakati gani na kwa kutumia lugha na maneno ya namna gani, hakuna mtu ambaye hapendi kupata ushauri ila ukiingia na abusing words my friend lazima watu wakushughulikie masaburi.
Mkuu tupopamoja, big up.Hatuhitaji kukurekebisha sana ni kukujulisha kwamba, tumenyanyaswa kwa muda mrefu na CCM , tumedhalilishwa sana na CCM, tumeibiwa sana na CCM, tumefungwa sana na CCM na sasa tumepata mkombozi wa kutpeleka nchi ya ahadi TANGANYIKA. CDM ndiyo musa wetu wa kuttoa Misri na kutupeleka Nchi ya ahadi yenye Madini na ardhi yenye rutuba , nchi yenye mbuga za wanyama wa kila aina na nchi ya watu wakalimu.
Ngoja nami nijaribu kuorodhesha mapungufu ya CHADEMA yetu:Hebu tuorodheshee mapungufu unayodhani niya CHADEMA, Slaa na Mbowe nasi tuone kama ukosoaji wako uko sahihi au la. Pia kama watu kadhaa wanaokuzunguka (sijui idadi ila kama ni wengi) wanapingana nawewe unaweza ukajitathimini mwenyewe labda fasfri yako ya mapungufu ya CHADEMA si sahihi
Kwa kuongezea nchi isiyokuwa na wezi, corruption free state. Kenya wanaelekea huko Tanzania tunahitaji kuiga na kujifunza !!!!!! Kuna watu nawachukia ambao wanasema kuwa rushwa haiwezi kuisha Tanzania!!!! Watu hao nadhani ni mawakala wa CCM wajue kabisa zao zimefika, kila aliye dhulumu au kuiba mali ya nchi hii, atairudisha na riba au ataozea magereza!!!!!!!!! Huo ni ujumbe tunawapa mawakala wa CCM naona ni wengi hapa jamvini!!!!!!!!!!!Hatuhitaji kukurekebisha sana ni kukujulisha kwamba, tumenyanyaswa kwa muda mrefu na CCM , tumedhalilishwa sana na CCM, tumeibiwa sana na CCM, tumefungwa sana na CCM na sasa tumepata mkombozi wa kutpeleka nchi ya ahadi TANGANYIKA. CDM ndiyo musa wetu wa kuttoa Misri na kutupeleka Nchi ya ahadi yenye Madini na ardhi yenye rutuba , nchi yenye mbuga za wanyama wa kila aina na nchi ya watu wakalimu.