hahahha wewe alafu una mfano hai kusupport hiii thread! pia na hii tabia mmekwazana na mumeo unaenda kumwambia shemegiii hehehhehe mbaya sana ! yaan ana weza kukuaminisha mumeo anakukosea sana yaan atasema yaan ww ungekuwa mke wangu na hvyo ulivyo blah blah nyiiingi mwisho wa siku atakushika mkono,kesho atakutxt mapeema au kupigia kbs simu kukujulia hali na sie wanawake ndo tunapend mambo hayo kujaliwa kila mara shubaaamit! siku utaombwa uende ukale ice cream,mmhhhhhh! kaeni mbali na mashemej aic!!