Hii ni hatari, huyu mwanamke atazua balaa!

Hii ni hatari, huyu mwanamke atazua balaa!

Wapo wengi tu mbona

Sema mimi sipendi kabisa huo ujinga kwani nilienae ananipa kila nitakacho maisha mazuri dudu laukweli sina cha kuhangaika huko nje
 
Wapo wengi tu mbona

Sema mimi sipendi kabisa huo ujinga kwani nilienae ananipa kila nitakacho maisha mazuri dudu laukweli sina cha kuhangaika huko nje

Ni ujinga wa hali ya juu ila kama huna sababu ya kufanya hivo

Kuna ndoa nyingine hakuna namna ila kama mpo fresh hakuna sababu ya kuhangaika hangaika kukitembeza huko ilhali ndani unapata utakacho. Ni kujidhalilisha na kujishusha thamani tu

Cc Smart911
 
Mkuu kuna msemo wa kizungu unaosema "Love Is Blind" kama umewahi kulichambua hilo neno vizuri huwezi kumlaumu mwenye uzi.
Love iwe blind au isiwe, mkuu hii haihalalishi matendo maovu ya huyu mtoa maada, sitaki kuonekana kama namuhukumu no, but yeye kama binadamu mwenye uwezo wa kujua mema na mabaya inatakiwa ajiongezee, sidhani kama mwanamke ana power kumzidi yeye, kuna dhambi nyingine kwa kweli tunamsingiziaga shetani
 
Ni ujinga wa hali ya juu ila kama huna sababu ya kufanya hivo

Kuna ndoa nyingine hakuna namna ila kama mpo fresh hakuna sababu ya kuhangaika hangaika kukitembeza huko ilhali ndani unapata utakacho. Ni kujidhalilisha na kujishusha thamani tu

Cc Smart911
Kweli dada!
Kuna watu nadhani hawajielewi sijui

Halafu wakae wakijua hakuna mchepuko / hawara utaedumu nae milele
 
MKUU HATA MIMI HIYO HALI IPO TENA SIYO MWANAMKE MMOJA, ILA KWA KUWA WAMEOLEWA NAJITAHIDI KUWAKWEPA, MKE WA MTU SUMU SOMO!
AKIKUULIZA UPO WAPI MWAMBIE UPO KWENYE SHUGHULI ZAKO UTARUDI USIKU SANA. HATA KAMA UPO FREE MWAMBIE UKO NA WATU.. BAADA YA MUDA ATAACHA KUKUGANDA. KUMBUKA WADADA WENG WAKIZAMA MAPENZINI HAWAFIKIRI SANA, HVYO UNATAKIWA KUONESHA MSIMAMO KATIKA HLO.. VINGNEVYO UTAJAZWA, SIKU ZA MWIZI 40
Ni kweli nakubaliana na wewe, wanawake wakizama kwenye mapenzi huwa hawafikiri kabisa. sasa sijui hizi lawama tujitupie sisi wanaume au tuwatupie wanawake?
 
Kwa maumivu ya kugongewa nayoyajua uwa si shauri mtu kufanya kitu icho kamwe.
 
wapo wengi tu wenye tabia km hizo ishu inakuja kwenye KUKAMATWA KILA MTU ANAKAMATWA KIVYAKE NA ADHABU ZINATOFAUTIANA ....SIUNAJAZA IKIFIKA KUJAZWA NDO UTAIJUA JUNEJULY
Mmmh! Hapa umemaliza kila kitu kazi kwake mleta mada
 
Ndo maana mnaliwaga TGO pumbafu mke anauma achana nae tena mtimue na kama nyumba unayoishi sio yako hama kwa sabab hawa viumbe nao ukiwanogesha sana dozi huwa hawasikii hata ukiwakata vichwa wanakuja na kiwiliwili kupata dozi
 
Hapo ni sawa na kuchelea shilingi ya mwisho ya kununulia unga wa ugali... Njaa itakuandama tuuuuu...no way out...
 
We jamaa uko kwenye RISK,

Tamaa mbele,,,,,,,, ,

Najua kuna watu watakupongeza hapa, ila yakikukuta hao hao watasema jamaa hakuwa makini au watakugeuka na kukwambia ulizidi, wengine watasema za mwiz 40,

Alafu kumbuka kuna app kibao za kudukua habari zako na mwenzio,

Mwenye mali akiwa mwana CIA mzuri, utapotea na kumwacha mkeo/mchumba rehani,

Najua hii dhambi wengi tuliitenda ila kwa bahati mbaya, ila wewe hujachelewa achana naye huyo,

Usiingoje ile kauli ya "NINGEJUA"
kwan huyo mume ataua wangapi mpaka na yy afe??? hapa nimelewa kweli yani
 
take it up side down.....kuchapiwa kunauma jamaa........ nakushauri usiache...KY...
 
wapo wengi tu wenye tabia km hizo ishu inakuja kwenye KUKAMATWA KILA MTU ANAKAMATWA KIVYAKE NA ADHABU ZINATOFAUTIANA ....SIUNAJAZA IKIFIKA KUJAZWA NDO UTAIJUA JUNEJULY
Hahaaa! Sasa hivi anajaza bado kujazwa..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom