Hii ni hatari, huyu mwanamke atazua balaa!

Sasa hizo atractions ndio balaa kwa ndoa, maana hata huwa hawatongozani, watajikuta tu tayari.
Hakikisha we ndio best friend wa mkeo.
Hahaha hapo ni kupeana tu kiutu uzima...Ilishawahi kutaka nitokea hiyo ila nilijicontrol nikaweza
 
Hahahaaaa!! Sasa ukioa ujiweke mbali za hizo cases.
Mie marafiki zangu wengi ni jinsia ya me, naanza kuwapunguza taratibu haswa ule ukaribu sanaaaa, mana baadae wanaweza kuwa shida.
 
Sasa hizo atractions ndio balaa kwa ndoa, maana hata huwa hawatongozani, watajikuta tu tayari.
Hakikisha we ndio best friend wa mkeo.

c mpaka sasa! mume daily anarud saa tano usiku huo ubest unatokea mlango gani! daily NEWS unawatch na dada wa kazi pyeeee! ........hakuna namna!ukiuliza oh napenda sn mpira! zikitoka form za u coach sijui y hawaendag kugombea tujue 1 kuwa nina coach ndan mwangu!teh teh simbilisi kabsa!
 
Hahahaaaa!! Sasa ukioa ujiweke mbali za hizo cases.
Mie marafiki zangu wengi ni jinsia ya me, naanza kuwapunguza taratibu haswa ule ukaribu sanaaaa, mana baadae wanaweza kuwa shida.

duh hawajawah kukutongoza ! mie huwa najaribu hata kabla sijaolewa woote wanaishia kukuiongoza toka hapo nikakata kbs urafk huo! sipend km nn!kama sio sumu mbn haina shida
 
Unapita unaelekea wapi mkuu...?

shida yako inaleflect kitu kwangu
 
Hahahaaaa!! Sasa ukioa ujiweke mbali za hizo cases.
Mie marafiki zangu wengi ni jinsia ya me, naanza kuwapunguza taratibu haswa ule ukaribu sanaaaa, mana baadae wanaweza kuwa shida.
Ndo mana sitotaka kabisa mke wangu awe na hao marafiki hakuna cha classmate. Na hicho ndo kitakuwa kigezo kikubwa....bora uwapunguze tu maana nia yao ni kumega tu hata ipite miaka 10
 
friends with benefits/fuckbudy/no strings atached/side nigga
 
c mpaka sasa! mume daily anarud saa tano usiku huo ubest unatokea mlango gani! daily NEWS unawatch na dada wa kazi pyeeee! ........hakuna namna!ukiuliza oh napenda sn mpira! zikitoka form za u coach sijui y hawaendag kugombea tujue 1 kuwa nina coach ndan mwangu!teh teh simbilisi kabsa!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mrs air bwana, umenifanya nicheke!!
 
duh hawajawah kukutongoza ! mie huwa najaribu hata kabla sijaolewa woote wanaishia kukuiongoza toka hapo nikakata kbs urafk huo! sipend km nn!kama sio sumu mbn haina shida
Ndio maana kabla ya kuingia huko kunako ndoani naanza mdogo mdogo kupunguza.
 
Ndo mana sitotaka kabisa mke wangu awe na hao marafiki hakuna cha classmate. Na hicho ndo kitakuwa kigezo kikubwa....bora uwapunguze tu maana nia yao ni kumega tu hata ipite miaka 10
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Eti hakuna cha classmate!!!!
 
Kifo na aibu isiyofutika inakunyemelea mkuu, malipo ni hapa hapa, ipo cku na ww utafanyiwa hivyo hivyo.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Eti hakuna cha classmate!!!!
Hahaha hapo ndo huwa wanaposingizia utasikia uyo ni classmate wangu na ni rafiki tu..kumbe jamaa anamtega tu kitambo hajamuweka radani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom